Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wakati huu wa maisha magumu na pesa imekuwa ngumu kupatikana, Nikawaza zile millioni mia tano za yule aliyekuwa mshindi wa shindano la Big brother Afrika, bwana Idriss Sultan ni kwamba ametumbua...
5 Reactions
129 Replies
18K Views
Wanajamvi leo hii kila kona kumezagaa skendo ya Diamond ya kufanya utapeli baada ya kupokea advance kutoka kwa promota na kutotokea kwenye shoo huko Arusha, promota anadai alimlipa Diamond advance...
1 Reactions
79 Replies
13K Views
Aman iwe juu yenu Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu Nina shida sana na huyu ninja mtu mpambanaji sana kidbwoy Je office yake iko wapi hapa mwanza Na huwa anapenda kukaa wapi na...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwanamuziki Robyn Rihanna Fenty (32) maarufu Rihanna kwa mara ya kwanza ameingia kwenye orodha ya Wanamuziki tajiri wanaoishi Uingereza na kushika nafasi ya 3. Amehamia London mwaka 2019 Rihanna...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Hawa vijana ni kutoka rFa Redio free Africa ni watangazaji wa michezo wazuri Wanafaa sana wakiungana katika kipindi cha sport arena wasafi fm Michael Noel Gwamaka Francis Exalioth Machinga...
2 Reactions
37 Replies
13K Views
Nimesikiliza wimbo wa Harmonize, nyimbo ya maombolezo. Kwa kweli asante sana kijana wetu, wimbo wako una hisia kali na umenitoa machozi. Kwenye wimbo Kijana kamlilia mzee, anasema kama siyo...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Wasalaam wana jamvi! Baada ya msiba wa Rais mstaafu tulitegemea wasanii wetu ndio watoa faraja wakuu katika kipindi cha maombolezo kwa tungo nzuri zenye mantiki na maana kuu. Baada ya msiba...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
"Huyu huyu gavana wa benki yetu balali eeh, mamaa eeh, Alishiriki wizi akakimbilia mbalii yoo, mamaa ooh Eti wakatupasha habari, kwamba amefariki dunia, aaah aah.........[emoji445] Wasaalam...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni takribani wiki na ushee sasa Master Jay kakaa kimya sana na page zake za mitandao ya kijamii zipo kimya zaidi ya wiki. Master Jay ni msomi mwenye degree ya Uingereza katika fani ya uhandisi na...
5 Reactions
70 Replies
11K Views
Kama ambavyo Watanzania wengi tulivyoguswa na msiba huu mzito wa Kitaifa, wasanii wetu pia wameguswa.
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Ni ya muda kidogo ila ndicho kilichopo kwenye ubongo wake.
2 Reactions
62 Replies
12K Views
Leo jumatano ya tarehe 29 July 2020 watz tumemzika Rais mstaafu wa Awamu ya 3 Hayati BW Mkapa. Lakini wanamuziki kutoka Label ya WCB hawajaonekana kokote, either Masaki kwenye makazi ya Marehemu...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Wazee nimepita sehemu nikakuta haters wa Diamond wanasifia kishenzi kwamba Asley kanunua gari kali kuliko msanii yoyote hapa bongo, Sasa mimi huwa sipendi ujinga nikaingia chimbo nikafanya...
2 Reactions
48 Replies
12K Views
Hili ndo gari aina ya BMW ambalo Diamond alizawadiwa na Menejement yake Fella alikula keki kwa niaba ya mameneja wake Meneja wa Diamond, Babu Tale amesema party hiyo iligharimu...
1 Reactions
210 Replies
50K Views
Wajumbe?! Nimeguswa kuandika hii thread, ukizingatia leo tunampokea Tundu lissu niliyempa jina la "Muujiza unaoishi". Natambua sana kuwa wanawake ni wavumilivu sana sana hasa kwenye shida ngumu...
11 Reactions
27 Replies
5K Views
Nimeona makada mbalimbali wa CCM wakiwemo wasanii wakiripotiwa kuchukua fomu za ubunge katika majimbo mbalimbali na viti maalumu. Katika wasanii ambao nilitarajia kukutana na picha ama taarifa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa wakazi wa Kinondoni, Tunaomba Mtukumbushe kadri mtakavyoweza, Uwezo na Matukio Aliyoyafanya Juma Ngedere, Kipindi chote Alichovuma Katika Michezo ya Kujihami... Historia yake na Alipo sasa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Jioni hii kwenye TBC aridhio nimemwona mtangazi Spensa Lameck akiripoti kutoka Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam . Je, itakuwa amerudi TBC akijiandaa kukiwasha kwenye kampeni tena kunako mwezi ujao...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Quest in 2014 BornRichard Austin Quest 9 March 1962 (age 57) Liverpool, Merseyside, England NationalityBritish EducationAiredale and Wharfedale College University of Leeds Vanderbilt...
2 Reactions
91 Replies
21K Views
Huyu jamaa nakumbuka kipindi kile ITV alikuwa fundi Sana wa kuvaa uhusika aling'aa Sana na kina dokta cheni, sijui siku hizi yupo wapi na Kama ameachana na Mambo ya Sanaa maana hata kwenye movies...
2 Reactions
47 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…