Juma Said Juma 'Ngedere', Shujaa wa Kinondoni

chiumbo

Senior Member
Nov 15, 2013
121
84
Kwa wakazi wa Kinondoni, Tunaomba Mtukumbushe kadri mtakavyoweza, Uwezo na Matukio Aliyoyafanya Juma Ngedere, Kipindi chote Alichovuma Katika Michezo ya Kujihami... Historia yake na Alipo sasa. Kado Cool, Naamini Ana Maelezo ya Kina.
Je, Mashujaa Wenzake hasa wa Kipindi chake, Wako wapi sasa?
Kwa Wasiomjua, Juma Ngedere Ndiye Aliyekuwa Bingwa wa Mchezo wa Karate kwa Tanzania Kwa Miaka ya 1996 na 1997.
Karibuni Sana.
 
Huyu ni kaka yake amri said Sema Sahv juma ngedere kama hayuko Sawa....
Binafsi namjua vizuri sana, Kuna wakati fulani kulikuwa na mbabe mmoja anaitwa stiba mtoto wa kitanga alitaka kuyakanyaga kwa ngedere,
Juma ngedere alimwambia akaombe kibali kbsa ili siku wazipige, ikapangwa siku eneo lilipangwa wazipige amerikan chips Enzi hzo wako manyanya au nyuma ya kituo cha kwenda posta
Stiba hakutokeaaa alikula konaaa
Juma kakomaa sana licha na mambo yake ya kata jamaa ni fundi seremala Sema Maisha Sahv yamebadilika sana ubabe utamfanyia nani

Ova
 
Alivuna sifa tu mkuu
Umenikumbusha mkali mwingine anaitwa wandiba alikuwa vzuri, wanamuziki toka Kongo wakija bongo yeye ndy alikuwa bodyguard achana na bodyguard wa Sahv wanaowalinda wakina mondi harmonise
Wamejaaa minyamaaa tu

Ova
Waiting soup marehemu Yule, merry mwembamba kakomaa
 
Nimekumbuka Hiyo... Hapo American Chips Kwenye Hilo Pambano, Nakumbuka Juma Ngedere Aliingia Pale Kwenye Pambano Saa 9 Alasiri, Masaa 3 kabla ya Muda Wa Kuanza Pambano... Alifanya mazoezi makali mfululizo Kuanzia Saa 9 hadi 12 Kama Maandalizi... Watazamaji wakajua Kuwa Leo Atakufa Mtu, wakaamua Kuanza Kutoka Mmoja Mmoja
IMG-20200722-WA0010.jpeg
 
Nimekumbuka Hiyo... Hapo American Chips Kwenye Hilo Pambano, Nakumbuka Juma Ngedere Aliingia Pale Kwenye Pambano Saa 9 Alasiri, Masaa 3 kabla ya Muda Wa Kuanza Pambano... Alifanya mazoezi makali mfululizo Kuanzia Saa 9 hadi 12 Kama Maandalizi... Watazamaji wakajua Kuwa Leo Atakufa Mtu, wakaamua Kuanza Kutoka Mmoja MmojaView attachment 1516228
Stibba aliingia mitini

dah huyo msela amechoka hivyo ndio alikuwa anawakalisha wanaume wa dar.....
something is wrong
 
Huyu ni kaka yake amri said Sema Sahv juma ngedere kama hayuko Sawa....
Binafsi namjua vizuri sana, Kuna wakati fulani kulikuwa na mbabe mmoja anaitwa stiba mtoto wa kitanga alitaka kuyakanyaga kwa ngedere,
Juma ngedere alimwambia akaombe kibali kbsa ili siku wazipige, ikapangwa siku eneo lilipangwa wazipige amerikan chips Enzi hzo wako manyanya au nyuma ya kituo cha kwenda posta
Stiba hakutokeaaa alikula konaaa
Juma kakomaa sana licha na mambo yake ya kata jamaa ni fundi seremala Sema Maisha Sahv yamebadilika sana ubabe utamfanyia nani

Ova
Mrangi na watu wa Dar!

Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
 
Alivuna sifa tu mkuu
Umenikumbusha mkali mwingine anaitwa wandiba alikuwa vzuri, wanamuziki toka Kongo wakija bongo yeye ndy alikuwa bodyguard achana na bodyguard wa Sahv wanaowalinda wakina mondi harmonise
Wamejaaa minyamaaa tu

Ova
Wandiba mwembamba Kama James Francis Kabilu, kuna siku alisababisha Defao aaibike
 
Stibba aliingia mitini

Ova
Mrangi wewe kweli ni mtu wa Dar kiundani mno. Yaani wa mjini.. sio kama sisi ambao tulikuja kwa ishu za chuo. Nakufananisha na mzee mmoja wa Ilala ananipigiaga stori za matukio makubwa ya mjini kuanzia sherehe za uhuru na kuendelea.
 
Back
Top Bottom