Tetesi: Msanii Diamond Platnumz (Dangote) aumbuka Kenya:

Vugu-Vugu

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
1,344
1,531
Anaandika Javan Samora-Kenya
Msanii wa kizazi kipya Diamond Platnumz ( Dangote ) leo amewachefua fans wake mara baada ya kuongea Ki-ingereza cha hovyo ( Broken English ) na kuzua taharuki kwa mashabiki, Akiongea kupitia kupitia kituo cha Redio cha Class FM wakati wa kutangaza uzinduzi wa cologne (Parfume )
yake mpya, Daimond ameacha story mbaya miongoni mwa Mashabiki wake Africa na Duniani kwa Ujumla,
Hata hivyo Mtangazaji wa kituo hicho Maina Kageni wa kipindi cha Morning showz amepotezea kwa kwa kuwaambia mashabiki (Fans) kiingereza ni kwa aajili ya mawasiliano wala sio kipimo cha ujuzi.

Mytake; Mh Dangote jaribu kujitathimini kwa mtazamo wangu hauendi vizuri sana kama mwanzo so kama muziki umekushinda fanya mengine ili usiipoteze hii branding yako, Hapa Tanzania umewavuruga sana fans wako kwa kumtetea Albert Bashite pamoja na kutupia instagram post ukitukana matusi ya ajabu ajabu, Jaribu kujitadhimini upya kama ndiwe "Diomond Platnumz) tuliyemfahamu au ndio umeota mapembe tukuongezee mkia. Achana na Siasa uchwara.

upload_2017-4-19_20-48-1.png


 
Ukisikia Wanaume Km Mabinti Ndo Nyie, Social Media Hazikuja Kwaajr Hyo, Ila Kwakua Msafara Wa Mamba Kenge Pia Wamo, Bac We Endelea Kusindikiza Wenzio[/QUO

Acha kutoa povu basi andika maneno yasomeke, tatizo lenu mlipokuwa mnasoma mwalimu akiwa anafundisha ninyi mnapiga kelele ona sasa nini unaandika hapa.

Diamond kama kingereza hajui kwanini asiongee Kiswahili kama Rais wetu Mh Dk Magufuli?
Wanaochoga sio mimi ni hao wakenya.
Acha upumbafu hapa ni hoja kama hoja huna funga bakuli ...... ulale.
 
Do not be afraid a group of lion led by a sheep.But rather be afraid a group of sheep led by a lion
 
Back
Top Bottom