Wasanii wetu bado kazi ipo sana

kitalembwa

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
2,859
7,124
Wasalaam wanajamii

Nilikuwa naangalia live kwenye tv uzinduzi wa kampeni za CCM. Kabla ya mwenyekiti kuongea , wakaalikwa wasanii watatu (top artists)

1. Harmonize, kidogo ndio amepafom vizuri , japo play back pia dj Kuna namna anakosea kosea! Ila uwezo binafsi na kulitawala jukwaa kaweza Sana !! Kongole kwako konde boy

2. Ally K, huyu kidogo mziki wa live anawazidi wasanii wengi Sana hapa nchini ! Kajitahidi kiasi chake kufanya alichoweza

3. Naseeb Diamond, Leo sijui kapatwa na nini (tuachane na kuzuiwa kwenda jukwaa kuu, haya Ni mambo ya kiusalama ) ! Amekuwa na shoo mbovu sijapata kuona

Baada ya mwenyekiti kuongea, wakaja wengine kina Barnaba, Shishi, Maua Sama, Nandy , Mrisho n.k ! Kiukweli hakuna ambaye amelitendea vyema jukwa, kidogo Mrisho na Banana Zoro ! Kama Lavalava na Shishi wametia huruma Sana !

Kiujumla wale top artists (Ally, Naseeb na Harmo) ndio wamefanya vizuri walau, bado wasanii wetu wana kazi sana kwenda mbali na miziki yao
 
Hivi ulikuwa mkutano wa kisiasa ama tamasha la wasanii!?
Sielewi mkuu ,,, pengine tukiona hizo pay roll tunaweza kuziba midomo yetu kwa mshangao ! Hawa jamaa wanatumia nguvu kubwa kuuaminisha Umma kuwa wanayo sapoti ya mwananchi kwa 100%
 
Kiba kinachombeba ni nyimbo zake si za kucheza bali ni za kusikiliza ila Diamond aliimba nyimbo za kucheza.

Ni wasanii wachache ambao wanaweza kucheza na kuimba kwa pamoja, ni vigumu sana.

Diamond ana tuzo zaidi ya tatu za best performance kutoka kwa majaji wanaojua maana ya performance.

Uwaimbie live band umati wa watu wamejazana bure pale unadhani watakuelewa???
 
Pengine siku imemuendea vby bwana mondi
 
Kwa leo Kiba katendea haki jukwaa,
Piga kelele kwa ake, weuweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
 
Jaman wajifunze kuimna live sio kushindia mipombe na kushinda club
 
Wasalaam wanajamii

Nilikuwa naangalia live kwenye tv uzinduzi wa kampeni za CCM. Kabla ya mwenyekiti kuongea , wakaalikwa wasanii watatu (top artists)

1. Harmonize, kidogo ndio amepafom vizuri , japo play back pia dj Kuna namna anakosea kosea! Ila uwezo binafsi na kulitawala jukwaa kaweza Sana !! Kongole kwako konde boy

2. Ally K, huyu kidogo mziki wa live anawazidi wasanii wengi Sana hapa nchini ! Kajitahidi kiasi chake kufanya alichoweza

3. Naseeb Diamond, Leo sijui kapatwa na nini (tuachane na kuzuiwa kwenda jukwaa kuu, haya Ni mambo ya kiusalama ) ! Amekuwa na shoo mbovu sijapata kuona

Baada ya mwenyekiti kuongea, wakaja wengine kina barnaba, shishi, maua sama, nandy , mrisho n.k ! Kiukweli hakuna ambaye amelitendea vyema jukwa, kidogo mrisho na banana Zoro ! Kama lavalava na shishi wametia huruma Sana !

Kiujumla wale top artists (Ally, Naseeb na harmo) ndio wamefanya vizuri walau, bado wasanii wetu wana kazi Sana kwenda mbali na miziki yao
Show ndio zinakuwaga hivyo tu usitegemee cha ziada
 
Wasanii wa kibongo wanakera na performance zao za kishamba. Hata kama wanafanya playback wanatakiwa at least waifanye ionekane poa basi.

Juzi nilikuwa namuangalia Aya Nakamura kafanya 50/50, yaani kaimba kidogo na kidogo kafanya playback, lakini ilikua perfect.

Kuna technology inatumika kufanya playback ionekane super, lakini hawa wa kwetu hawajui kufanya kazi yao, wamekalia kuwekeana majungu tu.
 
Ila Mond Idodomya kuna kamjusi kalikuwa kanachungulia..hivi ni kanini
 
Wasalaam wanajamii

Nilikuwa naangalia live kwenye tv uzinduzi wa kampeni za CCM. Kabla ya mwenyekiti kuongea , wakaalikwa wasanii watatu (top artists)

1. Harmonize, kidogo ndio amepafom vizuri , japo play back pia dj Kuna namna anakosea kosea! Ila uwezo binafsi na kulitawala jukwaa kaweza Sana !! Kongole kwako konde boy

2. Ally K, huyu kidogo mziki wa live anawazidi wasanii wengi Sana hapa nchini ! Kajitahidi kiasi chake kufanya alichoweza

3. Naseeb Diamond, Leo sijui kapatwa na nini (tuachane na kuzuiwa kwenda jukwaa kuu, haya Ni mambo ya kiusalama ) ! Amekuwa na shoo mbovu sijapata kuona

Baada ya mwenyekiti kuongea, wakaja wengine kina Barnaba, Shishi, Maua Sama, Nandy , Mrisho n.k ! Kiukweli hakuna ambaye amelitendea vyema jukwa, kidogo Mrisho na Banana Zoro ! Kama Lavalava na Shishi wametia huruma Sana !

Kiujumla wale top artists (Ally, Naseeb na Harmo) ndio wamefanya vizuri walau, bado wasanii wetu wana kazi sana kwenda mbali na miziki yao
Yaani harmonize unamuweka top artist...!!!???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom