Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

MorTimer

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
1,195
965


======

Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia mwanadada mashuhuri Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha tukio hilo na hila dhidi yake.

Pamoja na mambo mengine, Wema amedai kwamba RC Paul Makonda anatembea na Agnes Masogange na amempangia nyumba Makongo ndio maana hajakamatwa ktk kadhia ya Dawa za Kulevya.

Operesheni ya kukamata wanaojihusisha na madawa ya kulevya ilianzishwa na Paul Makonda mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo alitaja majina ya watu mbalimbali wanaohitajika kituoni kwa ajili ya mahojiano, wakiwemo wasanii na maaskari polisi.

=====
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda Simon Sirro amesema kuwa mpaka sasa Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa wa Dawa za Kulevya 112 na jumla ya kete 299 huku 12 kati yao wakifikishwa Mahakamani.

Kwa taarifa hii soma > Makonda: Watuhumiwa madawa ya kulevya kuanza kupandishwa kizimbani leo au kesho

=====
Mfululizo wa kukamatwa, kesi, hukumu na kuachiwa huru kwa Agnes Masogange kwenye kesi ya Madawa ya kulevya
Masogange ajisalimisha mwenyewe Mahakama a Kisutu
Kupandishwa kizimbani na kusomewa shitaka
Yaliyojili wakati wa kesi ya Masogange
Masogange kupelekwa kwa Mkemia Mkuu
Kesi kusikilizwa
Tetesi za kuachiwa huru
Hukumu
====
Visa vya watu maarufu wengine waliowahi kutuhumiwa au kukamatwa na madawa ya kulevya
 
Mmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.

Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa
 
Nampongeza sana muheshimiwa makonda kwa hatua hii alaf natamani sana aisikie na hii audio ili moto uwe mkubwa zaidi kwa wema na huyo mwenzake anae ropoka kwenye background... Funga kabisa hawa watu wanatesa sana vijana kwa madawa.. Alaf muheshimiwa usiogope kuchukiwa na watenda dhambi wachache... Hata Yesu hakupendwa na watu wote sembuse wewe??? Funga kabisa wakaponde kokoto za reli yetu mpya ya standard gauge kama muheshimiwa jpm alivoagiza...
 
Back
Top Bottom