Huyu Jaden Smith amekumbwa na nini?

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,373
Alikuwa yuko vizuri tu kama hapa
IMG_20200518_143305.jpg
akitoka na demu wake safi
IMG_20200518_143346.jpg
Mara mwonekano unabadilika
IMG_20200518_143019.jpg
Mara tetesi za kuwa na mahusiano na wanaume kama huyu jamaa
IMG_20200518_143436.jpg
IMG_20200518_143221.jpg
IMG_20200518_143147.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa anasumbuliwa na nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana tatizo ni namna tu anavyojiweka. Kuna trend ya kubadili muonekano kwa wasanii wakimarekani kwa kujibadili muonekano ambao ni mbaya

Wasanii wengi wa trap (mumble rappers) wamebadili mionekano yao wanafanya kama fashion kama kina tekashi, uzi, lip peep, lil pump yaani muonekano wao una elements flani za ki-gay. naona naye dogo akaamua aige
 
Du!maisha haya

Duh hii dunia ina mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom