Aslay x Alikiba

hawa lengo lao ni kuifelisha ile couple haramu ya sodoma na gomora.
Na wameweza kuchomoa betri.
 
Angeshirikishwa msanii nimpendae na ngoma ingekua mbovu ningesikitika sana
 
Aslay atakuwa analogwa huyu... Si bure.

Au naye mshirikina.

Kapotea mazima.

Hadi anaanza kutafuta huruma ya mashabiki.

Kuna shida.
 
kama joseph99 na yule innocent nini sijui.. hawajaja kwenye huu uzi kuponda basi najinyonga..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom