Suala la WCB, Zuchu na Diamond kufutiwa wimbo YouTube mbona fans wa WCB mmejikausha?

Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
3,734
7,672
Sisi Wataalam wa Masuala ya Music tulitaadharisha mapema kuhusu ku-copy Copy oneni aibu inayomkuta huyu mwanamziki wenu aliyeishiwa Kabaki kubebwa na Vikolabo vyenyewe vya ku-copy 90%

Inasikitisha sana kwa Msanii unaejiita mkubwa Kuwekeza kwenye wizi wa Idea za wenzako. Kaeni Mkao wa kula kwa Ujio wa Pini jipya la King Kiba Mzee wa Mahit Song
 
Tulia wewe hujui hata jinsi YouTube inavyofanya kazi, video bado ipo YouTube haijafutwa ila imefungiwa mpaka YouTube watakapojiridhisha na malalamiko kutoka WCB juu ya claim waliyoipata kutoka kwa mtu ambaye haijulikani ali-claim nini kwa YouTube kuhusu video hiyo, huenda na yeye ni hater kama wewe tu.

Hili lilishamtokea hadi 6ix9ine ngoma yake ilifungiwa baada ya Magix Enga kutoka Kenya ku-claim kuibiwa beat na Tekashi, sasa jiulize kweli Tekashi aache producers wote kutoka soko kubwa la muziki duniani aje kumuibia beat Magix Enga!?

Mwisho wa siku 6ix9ine video yake ilirudi na hata hii ya Zuchu na Diamond Platnumz itarudi.
 
Unafkr mashabiki ni viaz kias hicho? Umeshaambiwa Claim hata alieitoa hajulikan...au mwenzetu unamjua Tony Anton? Hujui hata jamaa wana handle vp hizi case...
Utakuja kufuta huu uzi hapa

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Tulia wewe hujui hata jinsi YouTube inavyofanya kazi, video bado ipo YouTube haijafutwa ila imefungiwa mpaka YouTube watakapojiridhisha na malalamiko kutoka WCB juu ya claim waliyoipata kutoka kwa mtu ambaye haijulikani ali-claim nini kwa YouTube kuhusu video hiyo, huenda na yeye ni hater kama wewe tu.

Hili lilishamtokea hadi 6ix9ine ngoma yake ilifungiwa baada ya Magix Enga kutoka Kenya ku-claim kuibiwa beat na Tekashi, sasa jiulize kweli Tekashi aache producers wote kutoka soko kubwa la muziki duniani aje kumuibia beat Magix Enga!?

Mwisho wa siku 6ix9ine video yake ilirudi na hata hii ya Zuchu na Diamond Platnumz itarudi.
Huyo magix enga namuonaga kama taira alianza kwa harmonize sasa kaenda kwa tekashi.
 
😂😂😂😂😂basi leo utatolewa mifano hadi ya nyimbo za jay z zilizofutwa u tube kuhalalisha wizi wa boss wao.

Domo hana ubunifu siku hizi amebaki kucopy na kupaste. Kuiba na kuhalalisha.
Numbisa nimeona pekee yako ndio umelike Uzi wa mtoa mada
 
Mashabiki wa kiba huwa wanaangalia nyimbo zake kwa fujo kipindi zinatoka hadi inatokea traffic halafu baada ya hapo wanazitelekeza halafu wanasema nyimbo zake haziishi utamu
Ila ngoja niweke akiba ya maneno usikute nyimbo zake zote zipo kwenye traffic ile siku YouTube wanatoa data halisi unakuta sinderela ina views 500M ,mwana 100M halafu seduce me imeipita hadi despacito maana mwamba hapendi show off.🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom