BASATA mfungieni Lady Jaydee anahamasisha uvutaji bangi hadharani

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,393
3,234
Kiukweli nimefadhaika sana baada ya kusikiliza wimbo mpya wa Dada Mkuu, Komando na Malkia wa Bongo flava Lady Jaydee uitwao One Time. Humo ndani Jide anahamasisha uvutaji bangi hadharani, hasa mstari wake unaosema "tusmoke weed one time".

Natoa rai kwa Baraza La Sanaa nchini BASATA kumchukulia hatua kali mwanadada huyu ili iwe fundisho kwa wengine. Napendekeza wimbo huo ufungiwe na yeye awe admonished and suspended kwa mwaka mmoja na ikiwa wimbo husika upo kwenye album album husika ipigwe stop

Kumbe Giant Ragweed na Crabgrass nayo BANGE eeee?

Unamhukumu vp mtu kwa kusema "smoke weed" kuwa amemaanisha ni CANNABIS(marijuana)?!!!

Maskini MAADUI Wa dada JIDE bado wako very aggressive.

Juzi Alinikumbusha kwa nyimbo nzuri nilizozisikia udogoni ambazo till now ni superb.

Dada yetu JIDE Mungu Mwenyezi ATAENDELEA kukulinda,aaamen aaaamin.
 
Kwahiyo wewe unadhani anaposema weed anamaanisha tumbaku?
Kumbe Giant Ragweed na Crabgrass nayo BANGE eeee?!!!!

Unamhukumu vp mtu kwa kusema "smoke weed" kuwa amemaanisha ni CANNABIS(marijuana)?!!!

Maskini MAADUI Wa dada JIDE bado wako very aggressive......

Juzi Alinikumbusha kwa nyimbo nzuri nilizozisikia udogoni ambazo till now ni superb......

Dada yetu JIDE Mungu Mwenyezi ATAENDELEA kukulinda,aaamen aaaamin.
 
Tusitafute technicalities na kujificha kwenye plain meaning za maneno, hapa tutumie overriding objective principles, tufuate substantive justice je vijana wetu wanapousikia mstari huo wanahamasika kufanya nini katika akili ya kawaida?
Kumbe Giant Ragweed na Crabgrass nayo BANGE eeee?!!!!

Unamhukumu vp mtu kwa kusema "smoke weed" kuwa amemaanisha ni CANNABIS(marijuana)?!!!

Maskini MAADUI Wa dada JIDE bado wako very aggressive......

Juzi Alinikumbusha kwa nyimbo nzuri nilizozisikia udogoni ambazo till now ni superb......

Dada yetu JIDE Mungu Mwenyezi ATAENDELEA kukulinda,aaamen aaaamin.
 
Kwa nini unapendekeza kwa basata jd afungiwe mwaka na umpendekeza album nzima ipigwe stop na kwa nini isiwe HIYO MISTARI YA WEED ICHOMOLEWE tu kwenye wimbo huska?, Watanzania tupendanane, kutengeneza album hela yake sio ndogo, halafu unataka afungiwe mwaka huo mwaka ambao hafanyi kazi ataishije?, Pls tusifikie chuko za kiasi hizo
 
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Purportedly Character Assassination...

Tarnishing other people's image....

Wabongo banaa.....
 
Bangi na ngono kutajwa kwenye muziki hapa bongo haijaanza leo.

Mikasi - Ngwair ft Mchizi Mox, Mkoloni & Rah P

Matawi ya Juu - Langa

Kimbia - Babuu ft Mchizi Mox & Langa

Mtoto Idi - Juma Nature

Taswira - Man Dojo & Domokaya

Dingi - Man Dojo & Domokaya

Hili Dude - Chege ft Mh. Temba

Kimya Kimya - Ngwair ft Jay Moe

Nahitaji Wife - Daz Baba ft Ngwair

Kwa haraka haraka hizo nyimbo nilizoandika hapo kuna mstari wa mtu kusifia bangi au akiashiria kutumia.
 
Tulidhani Maadui wa dada Jide Wameacha......

Kumbe They Are regrouping and putting her at menace with illogical tantrums.......

Kweli Kuna MAJINI watu....

Usiku ule JIDE alikuwa mtamuuu on the stage Kama ndio kwanza anatoa albamu ya MACHOZI...

Aaagh Aliyepewa..KAPEWA...

Mungu ni wa wote....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom