Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Rais Magufuli aliamua kumvulia na kumvisha kofia yake Diamond Platnumz simbaaa baada ya performance yake katika uwanja wa ccm kirumba jijini mwanza. Ila kijana wetu anaadabuu, mara baada ya...
18 Reactions
44 Replies
8K Views
Kuna kipindi wasanii walikuwa wanaogopa kushiriki shughuli na events za wasafi wakihofia Clouds Media lakini leo unaona hadi akina Nandy, Marioo wanashiriki matamasha ya wasafi daah mambo...
11 Reactions
42 Replies
8K Views
WANAMUZIKI WENGI NI HAMNAZO NA LIMBUKENI Kwa Mkono wa, Robert Heriel Familia zenye heshima na utajiri, familia za kisomi na kitaaluma, familia zilizoshika dini, familia zenye mambo ya kimila...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Arosto ya kummisi mziki mpya wa Mzee Yusuph itaniua. Kama na wewe umeumisi mziki wake ebu dondosha neno la lolote tufarijiane.
1 Reactions
56 Replies
9K Views
Ni kipindi kirefu sana millard ayo aliacha kupost contents za Diamond, Ishu hii iligeuka fursa kwa wenye channel za youtube maana milard alipanua wao wakaingiza, kusema kweli ilitoa fursa kwa...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
wana jf kwa sasa naona bendi nyingi zimegukia mwendo wa bia kama kiingilio, sijui wanalipanaje lakini najiuliza hawa wakongman wamefanyiwa nini hawatungi nyimbo mpya au wanaangushwa na maproducer...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
DUA zinahitajika kutokana na madai kwamba, nyota wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando amelazwa hospitalini nchini Kenya, katika chumba cha uangalizi maalum ‘ICU’, Vyanzo vya habari...
3 Reactions
51 Replies
34K Views
Instagram ya Ronaldo: Atengeneza Tsh Bilioni 2 kwa kila post ya udhamini KARIBU Nyota wa klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo, ametakiwa kukodisha akaunti yake ya mtandao wa Instagram kwa dau...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Kupitia Instagram ya Harmonize, Harmonize ameanza mwaka mpya kupitia kuandika ujumbe wake mrefu aliomuandikia Diamond kutoa appreciation yake kwa alichomfanyia mpaka kufika hapo alipo. NB...
13 Reactions
53 Replies
9K Views
Msema kweli ni mpenzi Mungu Diamond Platnumz kumshusha si leo wala kesho, kijana ana nidhamu ya hali juu kwenye kazi yake. Kwa kile alichokifanya Dodoma si mchezo, anajua nini mashabiki wanahitaji...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Post ya Harmonize akimtakia heri ya mwaka mpya Diamond Platnumz inaweza kuwa ndiyo post yenye likes na comment nyingi zaidi bongo tangu kuanzishwa kwa Instagram. Mpaka sasa post hiyo ina likes...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Nyota wa muziki Ali Saleh Kiba 'Ali Kiba' anatarajia kuachia Album yake mpya mwaka 2021. Itakumbukwa kuwa King Kiba mwaka 2018 alisema kuwa albamu yake ijayo iliyoshindikana kutoka mwaka huo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna kipindi niliona Vanessa anaimba nyimbo yake na wapiga violin ilikuwa kama orchestrals, nimeona bwana wake Rotimi atakuwepo kwenye movie hii ya coming to america 2,nikakumbuka kazi imefanyikia...
11 Reactions
74 Replies
9K Views
Huko insta diamond kaisafirisha familia yake nzima kwenda Dubai bila kumsahau Mr shamte kipoozeo cha mama na dangote, Na Nzi mbeba mikoba nae muuza mchele mjini hapa shogaangu Jumalokole2 nae yupo...
9 Reactions
225 Replies
33K Views
Baada ya kundi la yamoto band kusambaratika kutokana na madogo kutumika kwa mkubwa fela p na Temba bila kufaidi jasho lao hata zile nyumba walizojengewa mkubwa fela kukataa kuwapa. chanzo cha...
9 Reactions
74 Replies
16K Views
Wasalaam wana jamvi. Kiwanda cha muziki tanzania kimekuwa sana na ni wazi kabisa muziki wetu hasa bongo fleva umekuwa mgumu sana. Lakini kwenye miondoko ya taratibu na kubembeleza ni wazi...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari wadau! Hivi binadamu gani au mtu gani mashuhuri unaamini ameitikisa dunia mpaka tunasema hakika huyu pengo lake halitokaa lizibike? Wapo wachache ila unaweza kumtaja wako mfano Pele...
4 Reactions
84 Replies
8K Views
Hii "Jeki" iliyopigwa na Kajala ni babu kubwaaaa....Hii ilipigwa siku ya uzinduzi wa filamu yake mpya. Hakika wadada wa Dsm mambo yao ni motomotoooooooo.....Hivi hii kitu ya kubenjua hizi nyonyo...
25 Reactions
163 Replies
36K Views
Inasemekana Mama Clinton alishinda mpambano huo! Another kind of presidential race By Gabriel Gatehouse BBC News, Tallinn, Estonia Saturday, 17 May 2008 As Hillary Clinton battles to...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mwaka jana Michael Lukindo aliacha kazi Mjengoni kwa madai anataka akafanye muziki, lakini mwaka umepita sijaona huo mziki akifanya na matokeo yake, labda alikuwa na sababu ingine ambayo hakutaka...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…