Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Ni yule demu aliekuwa aki-present na TBWAY 360 kwenye pindi la 5 selekt la EATV...She has a good presenting skills, she is cute hlf hana skendo, hata kama anazo hazijasikika kama za hawa upcoming...
3 Reactions
64 Replies
23K Views
Vijana 8 kutoka kundi la Tamaduni Music ambao wameji-organize na kuunda kikundi walichokipa jina la Kikosi Kazi Kazini (KK) Naweza nikasema kwa ngoma mbili hizi walizotoa Kikosi Kazi zinatosha...
9 Reactions
125 Replies
23K Views
Jumba hilo kubwa la kifahari lililojengwa katika eneo lenye ukubwa wa ekari 2,700, Neverland, Los Olivos, California limeuzwa kwa Mfanyabiashara tajiri aitwaje Ron Burkle kwa Dola za...
7 Reactions
25 Replies
6K Views
Ni msanii mtukutu . Alipotea ghafra. Hatujui aliko. Ni Godfrat Tumaini a.k.a konk master DUDU BAYA. Nawasirisha tafadhari. 2020/2021
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Kuna ubishi unaendelea mahali, ubishi wenyewe unawahusu KING OF REGGAE ambaye si mwingine bali ni BOB NESTA MARLEY na KING OF POP ambaye ni MICHAEL JACKSON sasa ubishani uliopo nani ni maarufu...
0 Reactions
68 Replies
14K Views
Kwa Mabeste tunajua tatizo ni pesa; hata yeye anakiri hilo, mbaya zaidi ni kwenda kuishi na aliyekuwa jamaa yake. Pia hili suala lilimkuta king wa mziki wa TZ Ally Kiba japo yeye anakanusha suala...
3 Reactions
39 Replies
12K Views
Huyu mwamba kaendelea pale Mabeste alipokwamia, wanasaikolojia waombwa kumuangalia mabeste aachane na uraibu wa sigara na pombe.
4 Reactions
101 Replies
16K Views
Huyu jamaa nimemsikiliza nyimbo zake, anajua sana kuimba. Mashairiki yake pia matamu sana.mbona hawiki kihivyo? Mnaonaje uwezo wake?
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Sijali yuko na the so called super star. Najua kuimbisha lazima Jokate nimkamate. Lazma auelewe wimbo wangu. Nitanyang'anya Diamond by any cost
0 Reactions
65 Replies
9K Views
New marriage in town.. ndoa imefungwa mabibo upande wa mama ake careen
0 Reactions
204 Replies
43K Views
Kile kipindi cha kipuzi Kwenye Orijino komedi TBC1 Umefulia kilidhalilisha wengi sana. Mpoki alimuigiza Kama Jengua Muhammed FungaFunga eti kafulia. Huku Joti akimfuatafua na maswali kwanini...
8 Reactions
42 Replies
9K Views
Kuna msanii mmoja hapa duniani mtanashati mrembo mpendwa na mademu. Lakini kila demu anao zaanao ni la zima watoto aende kupima DNA, kwa nini? A: Wanawake anaozaa nao si waaminifu, wana mabwana...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Msanii Diamond platnumz akihojiwa katika kipindi cha Good morning ya Wasafi FM amesema amenunua hoteli yenye hadhi ya nyota tatu iliyopo Mikocheni, hoteli hiyo amedai ina vyumba zaidi ya 30 pamoja...
26 Reactions
304 Replies
83K Views
Naona kabisa Lavalava kashindwa kufikia malengo ya waliomchukua. Hata Mboso aliyemkuta tiyari kamuacha japo naona majuzi hapa jamaa kaamka, sexy mama ni ngoma Kali. Sisemi ni msanii mbaya...
5 Reactions
66 Replies
6K Views
Namuangalia Rotimi simuishi.......
5 Reactions
39 Replies
8K Views
Margot Robbie - Dreamland (2019) 720p Format: AVI Resolution: 1280x720 Duration: 0:02:04 Size: 16.5 MB http://nitroflare.com/view/97D7D1C8B1DB779/M.R-Dr(2019).avi
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mimi Kama mzazi naumizwa kuona watu wamejaaliwa Mali lakini hizo fedha haziwezi kusaidia familia yake. Kama uwezi kusaidia familia yako unaondikaje kusaidia familia za wengine? Naomba...
25 Reactions
117 Replies
10K Views
Back
Top Bottom