Kiungo wa Mtibwa Sugar Henry Joseph amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Oliver, siku ya Ijumaa ya November 9 2018 jijini Mwanza, Henry amewahi kucheza Simba SC na soka la kupwa katika club...
Subhash C. Patel was born in Dar-Es-Salaam, Tanzania, on August 13, 1946. He received the B. Tech. degree in electrical engineering from Loughborough University, Loughborough, England, in 1968...
Nakumbuka miezi kadhaa iliyopita nilikutana na mwanamke mmoja hakika alinivutia sana nilikuwa na-drive lkn kutokana na uzuri wake aliojaliwa umbo maridadi mtoto bambata imejazia kiukweli sikuona...
Wasalaam,
Wakazi amemtaka Babu Tale kusema ukweli kuhusu ugomvi wa Diamond na baadhi ya media kuliko kujificha nyuma ya dini .
Namnukuu wakazi kupitia ukurasa wake wa instagram
"Ndugu @babutale...
Katika Interview ya Jacky & Millard ayo, Jack alisema watoto wakubwa wanaendesha makampuni ya zamani, IPP media na bonite na ndo makampuni yenye hela nyingi, bhas inaonekana huyu Jacky mengi hata...
Hivi inakuaje mastaa wa bongo wanapojaribu kufungua biashara huwa hazidumu?
1. Wema alikuja na lipshine,zikabuma
2.Jaydee na ile kitu yake Nyumbani lounge,imeshapotea,
3.Chibu pafyumu &Diamond...
Taarifa za msiba wa Bi Shakila zilianza kama tetesi lakini baadae ikaja kuthibitika kuwa hatunae tena. Bi Shakila Saidi alikuwa ni mwanamuziki mahili, mkongwe na hodari katika miondoko ya taarabu...
Mwanamuziki wa Rap kutoka Marekani Lil Wayne huenda akapewa hukumu ya miaka 10 jela baada ya kukiri kumiliki bunduki ya dhahabu pamoja na risasi kinyume cha sheria.
Lil Wayne mwenye umri wa...
Malkia wa filamu Jacquline Wolper Massawe amenunua kopi moja ya albamu ya Gold ya muimbaji Barnaba Classic kwa dola 3000 sawa na tsh million 7
Hayo yamefanyika kwenye listening paty ya albamu...
Kaka ake na umillinare wote huo anashindwa kumlipia dada ake kodi Jaman ? Sasa kufanya 40 ya kifahari yote ile na kumbe kodi anadaiwa ya nini ? .
Kupitia insta Live, Queen darleen ka confirm...
naomba mniambie zaidi ya Ruby na Grace Matata nani anaweza kupiga show ya hivi hata kama akipigiwa vyombo?nazungumzia hadi wanaume sitaki wale wa gospel kina joe lwaga au gosbert wale wanajua...
Habarini Wana jamvi:
Kiukweli Grammy zimepoteza credibility yao Kama ya zamani,na hii imejidhihirisha kutokana na ubaguzi na kutokuwaweka wasanii ambao wanastahili kuwepo kwenye nomination zao...
mimi nimpenzi sana wa kusikiliza redio za ndani ya nchi na nje, huwa natumia Tune In kusikiliza redio nyingi sana za nje kule napenda HOT108JAMZ na IheartRadio pale kenya NRG, KISS nawakubali...
Dudubaya amepotea tokea 13 agosti, 2020 , leo ni miezi sasa lakini ukimya ni mkubwa,
hata km alitukana watu lakini thamani ya uhai ni kubwa kuliko matusi yake.
Dudubaya yupo wapi?
Wiki hii Tanzania imeng'ara baada ya msanii wake Diamond kuweka rekodi ya kupata views milioni 10 siku ya 8 baada ya kutoa hit song aliyomshirikisha papaa mobimba KOFI OLOMIDE.
Ngoma hiyo...
Asalaam alaykhum,
Kwakweli wale waliopata wasaa wa kusikiliza interview ya salama na gabo leo watakua wamepata kusikia confession ya Gabo exclusively kwamba naye anatumia mjani aka mjamaika aka...
Haijalishi mmekosana nini ni wakati sasa kukaa mezani musameheane haya maisha tu afu ukizingatia mshakuwa watu wazima
Tumefundishwa kuwa binadamu hatokuja kupenda kamwe hadi pale atakapompenda...
Salam wadau wa JF
Lengo kuu la thread ni kuomba ushauri Pamoja na msaada wa kimawazo ikiwezekana..
Ni kuwa mimi niko kwenye harakati za kufanya Muziki(baadhi ya wadau ambao wamepata kunisikiliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.