Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

HABARI zilizoshtadi mjini kwa sasa ni kadhia ya mama Diamond kumkana baba Diamond (mzee Abdul) kwa idhlali na taadhira kubwa, kuwa si baba mzazi wa Diamond. Naam hii ni HABARI. Na sisi (kwenye...
4 Reactions
62 Replies
6K Views
Mmiliki wa TANROSE INVESTMENT Dada Rose amefariki Dunia... Kwa Wahenga wale 1990es alimiliki maduka ya kukodisha Movies Namanga na Sinza... RIP Dada
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Hongera kwake Kwa kuzingatia ushauri wa mkewe kipenzi ameahidi kutumia siku hiyo muhimu na watoto wenye uhitaji maalumu nchini badala ya kufanya sherehe kubwa na za anasa Nampongeza sana Ndg...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Tuliona Babalevo akijinadi kuwa watu wanamuonea wivu kisa kanunuliwa gari ya million 26 na Diamond pia alijisifu kulipiwa mamilioo kwenye video ya shusha ambayo bado .kwa msisitizo zaidi akasema...
6 Reactions
46 Replies
6K Views
Msanii wa filamu na Miss Tanzania mwaka 2006 Wema Sepetu, amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost picha kwenye ukurasa wake wa Instagram ikimuonyesha mwili wake kuonekana kuzidi kupungua, Wema...
4 Reactions
69 Replies
7K Views
Laiti madereva barabarani wangekuwa wanafungiwa baada ya kutenda makosa basi gari zingekuwa zinahesabika humu barabarani Ifike mahali TCRA ijikite kutoa adhabu kwa kupiga faini ndefu na kufungia...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Bila shaka umekutana sana na picha hii katika mitandao, mfahamu mhusika wa picha hiyo. Nelson ni mkazi wa Kagiso, Krugersdorp nje ya mji wa Johannesburg, amezaliwa April 6, 1987 akiwa ni mtoto wa...
14 Reactions
100 Replies
15K Views
Mimi sio shabiki na sitakuwa shabiki wa Diamond hata siku moja. Lakini sijafurahishwa na haya magazeti ya Udaku. Hili gazeti ni lini lilimpima au kuthibitisha kuwa Diamond ana ukimwi na...
1 Reactions
29 Replies
9K Views
Hello! Katika pita pita zangu YouTube muda huu nimekutana na video ya huyu msanii ambayo imapakiwa siku 5 zilizopita. Wimbo nimeupenda ila kilichonishtua na kuniogofya ni muonekano wake sasa, ni...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Baada ya bintiye kunyimwa dhamana...Keenja aingilia kati, yatolewa *Harakati zatumia muda wa saa mbili pekee *Hakimu achanganyikiwa, ajitoa kwenye kesi MTOTO wa Mbunge wa Ubungo, Bi Eliaisa...
1 Reactions
47 Replies
14K Views
Wakuu, Inawezekana wengi mmeshapata taarifa ya kifo cha DJ Ommy lakini kwavile sijaona post hapa JF juu ya hili nimeona nigusie kutokana na umuhimu wake. DJ Ommy ni moja ya madj wa mwanzo kabisa...
11 Reactions
59 Replies
12K Views
Huyu jamaa anajua sana. Style yake ni ya kipekee sana. Namkubaligi jinsi anavyokuza mambo. Unakuta kakitu kadogo lakini watu watakajadili kirefu. Pia movie zake hazitabiriki na zina violence za...
8 Reactions
35 Replies
4K Views
But whereas most people's 'sandwriting' is washed away, one super-rich Arab sheikh has ensured that his doodles will last a little longer. Hamad Bin Hamdan Al Nahyan, 63, has scrawled his name...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
And a happy new Year
13 Reactions
210 Replies
15K Views
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Diamond haswa kipindi hiki akionyesha mafanikio makubwa kimuziki. Wakati yeye akipambana kupiga hatua kuna wanaopambana kuakikisha hasogei na anarudi chini...
24 Reactions
204 Replies
22K Views
Habari wadau..! Ebu leo tumjadili huyu mtu anayejiita Mwana FA achana na Hamis Mwinjuma maana huyo nasikia siku hizi ni Mbunge huko jimbo la Muheza. Je, ni sahihi kwa wanamuziki wa kizazi hiki...
3 Reactions
61 Replies
6K Views
Lazima tuige ujasiri wake kwa manufaa ya taifa mpende msipende, lazima aenziwe vema ni jasiri ambaye watu wamemsahau nikielelezo tosha kwa vijana wote wanaopenda mabadiliko.<br /> <br /> Sio...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwanza sitokuwa mwenye fadhila kuwapa pole familia yote ya Albert marafiki na wale wapenzi wote wa music wake akiwamo mie naamini katika zile kumi kumi alinifanya nichukue moja baada ya tar 31...
5 Reactions
23 Replies
10K Views
Jana nimejionea laivu alikuwa chimbo fulani alikuwa ameandaliwa kushusha mbonge la shoo katika bar fulani mkoani geita Mimi ni moja ya watu waliokuemo kwenye bar hiyo tukipata 1.2 Dudubaya...
18 Reactions
64 Replies
12K Views
Ndugu wanajamvi kumeibuka mjadala mkali sana nchini Tanzania kuhusiana na sakata la kufungiwa kwa nyimbo za wasanii mbalimbali sababu kubwa ikiwa ni utovu wa maadili na utamaduni .Swala la maadili...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Back
Top Bottom