Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Dah! Nimemchungulia huyu mtoto kwenye page yake ya IG akimuwish mdogo ake wa like, Tiffah Dangote, mtoto was star mkubwa afrika DP swaga alizotumia ukilinganisha na umri wake ni noma.... Hakika...
2 Reactions
57 Replies
15K Views
Huyu P Frank Majani nimemuona kati ya watu smart sana, walianzisha mziki wa Bongo na ana miliki studio ya Bongo records, cha ajabu huyu bwana hajawahi onekana kwenye majukwaa ya kisiasa, je ameona...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Katika kusherekea siku ya kuzaliwa mtoto mkubwa wa mzee Wayne alipiga mapigo ya kina Miss Eliot, Eve na Queen Latifa mitindo pendwa ya mavazi miaka ya 1990-2005 huko. Mzee carter anamlea binti...
18 Reactions
101 Replies
13K Views
Akifanya mahojiano na gazeti mwananchi baba mzazi wa msanii diamond platnumz ambemuomba mwanae angalau amkatie bima ya afya kwani Hali yake kwa Sasa sio nzuri. Ilinichukua muda kumshawishi na...
13 Reactions
367 Replies
31K Views
Nianze kwa kuwatakia kila la heri katika mwaka huu mpya watanzania wenzangu na wana JF kwa upekee na mkawe na mwaka mzuri utakaotimiza angalau asilimia themanin kama sio mia ya malengo ambayo...
3 Reactions
31 Replies
5K Views
Familia ya Kadarshian haiishi vituko , mara baba ameamua kuvaa magauni. Sasa ni wazi tuna version yetu Tanzania.
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Niende kwenye mada moja kwa moja. Kwa msanii kama Wizkid na Tiwa Savage kuja Tanzania, kualikwa na mtoto wa Tandale, mtoto alielelewa na single mother kwa maisha ya kubangaiza, mtoto ambaye hata...
14 Reactions
118 Replies
13K Views
Jionee hapa Baada kukanusha kwa muda mrefu kuhusu mahusiano yao ya kimapenzi hatimaye mwigizaji Aunty Ezekiel na mwanamziki Kusah wameweka mambo hadharani kwa kumfanyia mtoto wao arobaini...
6 Reactions
128 Replies
65K Views
ojs entertainments We do Post entertainment newz in this blog, your welcome JUL 16 BABA WA DIAMOND MAPYA YAIBUKA SIKU chache baada ya baba mzazi wa kachala wa Bongo Fleva, Nasibu...
3 Reactions
23 Replies
6K Views
Hatimaye Harmonize hatumii mafumbo tena kumpiga madongo Diamond Platnumz amesikika jukwaani akitaja majina kabisa nanukuu "Baba na mama ndiyo nguzo ya dunia watunze wote, siyo baba Dangote...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Mnaomponda baba levo kwa kumuita chawa kwa diamond hivi hammuoni h baba. Kiufupi H Baba naye anajipendekeza kwa Harmonize ili kutetea ugali wake wa kila siku mbaya zaidi jamaa anavuka mipaka kwa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
1. Mama Diamond anasema kuwa, mzee Abdul hakuwa baba mzazi wa Diamond, inakuaje tena (yeye huyo huyo) aseme kwamba, mzee Abdul aliikataa mimba? Alikataaje kitu (mimba) ambacho si chake? Na kama ni...
13 Reactions
44 Replies
6K Views
Nashangaa sana ninapoona wanaume wanamtetea yule mzee! Kwani angekuwa karibu na mwanae (hata kama ni wa kumlea) angeweza kusukumwa na mkeo (mama diamond)? mi sidhani. Hivi angechukulia majukumu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
AY kamua kurudi shule kusoma international business.....ni jambo zuri lakini mhh chuo alichoamua kuchukulia nondo mbona kama utata.....sijui labda wana JF mna uhakika na hiki chuo...
0 Reactions
106 Replies
21K Views
Juzi kwenye mapunduzi cup huko Zanzibar Harmonize alikua ni mmoja wa watumbuizaji, nilikua namsikiliza ila nikashangaa baada ya kuimba kidogo Jamaa pumzi ikakata na alionekana anaimba kwa shida...
4 Reactions
39 Replies
6K Views
Anaitwa meena ally ni mtangazaji wa clouds FM binafsi Mimi nampenda namkubali Anakipaji kikubwa sana alafu pia ni mrembo hanaga maringo
11 Reactions
228 Replies
49K Views
Umebwengwa na Mpare/ Mchagga, mimba unambambikia Muha wa Kigoma. Je wewe Ni Nani Kama sio lijidunhauembe? Mtoto ana miaka +30 ndio unakuja sema huyu baba yako siyo baba yako baba yako Ni...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Binafsi sikuwahi kusikiliza wimbo hata 1 ya Burna boy so baada yakuona jamaaa anazungumziwa Sana na Mafanikio anayopata kwenye mziki wake Ikabidi Jana nisikilize wimbo wake hata 1...
5 Reactions
52 Replies
6K Views
ABRAHAM wa Africa Mashariki na Ulinzi Mkali ndani Kigali.
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Back
Top Bottom