Hatimaye Millard Ayo aanza kuweka taarifa kuhusu Diamond kwenye kurasa zake

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Ni kipindi kirefu sana millard ayo aliacha kupost contents za Diamond,

Ishu hii iligeuka fursa kwa wenye channel za youtube maana milard alipanua wao wakaingiza, kusema kweli ilitoa fursa kwa youtube channels nyingine kupata subscribers na views wengi kwa habari za wcb

Matokeo yake ni channels nyingi sana zilianza kukua kwa kasi huku millard akitrend kwa taabu mno

hali hii pia ilichangia kushuka kwa views kwenye channel ya millard na kusababisha upungufu wa pesa wanazolipa youtube.

Naona saizi kijana ni aidha akili zimemrudi au kabanwa kisawa sawa kaanza kumpost Diamond

Hongera sana millard, umeba

1609788590368.png



1609788628798.png


1609788691411.png
 
ugomvi wa clouds na diamond Ni wakijinga.haiwezekani mtu ambaye unagombana nae LAKINI ANA URAFIKI NA BOSI WAKO.
yaani diamond na kusaga ni MARAFIKI alafu wewe mfanyakazi unajifanya una ugomvi na diamond.
 
Kwakweli sina Cha kusema zaidi ya kwamba hakuna marefu yasiyo na ncha. Nasubiria clouds media group kuanza kucheza upya nyimbo za Wasafi. Muda ni jawabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom