barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,865
Hii "Jeki" iliyopigwa na Kajala ni babu kubwaaaa....Hii ilipigwa siku ya uzinduzi wa filamu yake mpya.
Hakika wadada wa Dsm mambo yao ni motomotoooooooo.....Hivi hii kitu ya kubenjua hizi nyonyo kama beringi ya taili la mkokoteni ina maana gani?Kweli Dsm ina wenyewe!!