Yupi kati ya hawa ambaye ameitikisa dunia?

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wadau!

Hivi binadamu gani au mtu gani mashuhuri unaamini ameitikisa dunia mpaka tunasema hakika huyu pengo lake halitokaa lizibike?

Wapo wachache ila unaweza kumtaja wako mfano Pele, Maradona, Michael Jackson, Michael Jordan,CR7 ,Messi n.k?

Je, yupi ambaye unaweza sema hakika huyu alikuwa Mungu mtu maana kuna story nilisikia kuna watu walikuwa mashuhuri mpk wakawa wanaabudiwa?
 
Wewe taja wako. Hii si siasa, ni kutaja tu. Tunatofautiana ufahamu na kumbukumbu.
Galileo.jpg
Sir-isaac_newton.jpg
609092760.jpg
Michael-Faraday.jpg
Socrates-900x600.jpg
Plato-portrait-bust-original-Capitoline-Museums-Rome.jpg
marie-curie.jpg
Savior.jpeg
609093074676.jpg
Michael-Faraday.jpg
Auguste-Comte.jpg
567890.jpg
 

Attachments

  • 220px-Σωκράτης,_Ακαδημία_Αθηνών_6616.jpg
    220px-Σωκράτης,_Ακαδημία_Αθηνών_6616.jpg
    7.1 KB · Views: 1
  • Michael-Faraday.jpg
    Michael-Faraday.jpg
    143.4 KB · Views: 1
Habari wadau!!
Hivi binadamu gani au mtu gani mashuhuri unaamini ameitikisa dunia mpaka tunasema hakika huyu pengo lake halitokaa lizibike??

Wapo wachache ila unaweza kumtaja wako mfano Pele,Maradona,Michael Jackson,Michael Jordan,CR7 ,Messi n.k??

Je yupi ambaye unaweza sema hakika huyu alikuwa Mungu mtu maana kuna story nilisikia kuna watu walikuwa mashuhuri mpk wakawa wanaabudiwa.
Kwenge Orodha yako nazani Michael Jackson alitikisa Dunia, ana record za kipekee kabisa na pia kwenye harakari za Black Movement alichangia pakubwa sana kwa Wazungu kuanza kuwaelewa watu weusi,
 

Sidhan kama kuna mtu atamfikia huyu jamaa..watu walikuwa wanamuabudu ikafikia stage ana wake 11 masuria wasiohesabika na bado mwamamke yeyote anajitoa kwa mwamba anapiga tu maana Mungu alimruhusu mpaka ikawa kero kwake maana kuna wengine madem wabovu ila wanajitoa kwake inabidi apige...

Jamaa haendi vitani ila wajinga wakipigana huko wanamletea robo ya mali daah
 
Back
Top Bottom