Wadau, kichwa cha habari chajieleza. Mtangazaji Maulidi Kitenge hajaondoka Wasafi FM Radio bali amefurushwa kwa sababu ya safari zake za mara kwa mara nje ya nchi, hususan nchini Marekani.
Kwa...
Uki unganisha dots kipindi Diamond Platnumz alivyokuwa na bifu na marehemu Ruge Konki Master alikuwa anamtukana sana pia baada ya Harmonize kujitoa Wasafi Konki Master akawa anamtukana mnoo...
Maisha yana kwenda kasi jamani.udongo unakula watu sana.
Taarabu ya kipindi cha nyuma ilikuwa nzuri na ilikwenda sambamba na bendi miaka hiyo. Kuna kipindi taarabu ilikuwa na vijembe mpaka...
Wapendwa wana JF
Leo ningependa tumkumbuke Hayati Nicholaus Zengekala ambaye alikuwa mwanamuziki asiyeona (kipofu).
Ninakumbuka Nyimbo zake kama SOLEMBA, na JACK MTOTO WA NAIROBI
Huyu ndugu kwa...
Moja kati mabondia bora kabisa kuwahi kutokea. Binafsi huwa navutiwa sana na vituko vyake enzi hiyo. Vilivyonivutia sana ni hivi...
Kwa mujibu wa Fat Joe. Siku moja Joe na Big Pun walibananishwa...
Will Smith hataruhusiwa kuhudhuria Tuzo za Academy kwa miaka 10 ijayo, kutokana na kumpiga kibao mcheshi Chris Rock jukwaani wakati wa sherehe ya mwaka huu ya Oscar, The Academy of Motion Pictures...
Achilia mbali ongezeko la wingi wa waigizaji wa kike ndani ya bongo movie, ni wanawake wachache tu wenye kutambua thamani ya utu wao na hata kazi ya uigizaji walioamua kuifanya. Waliamua kuweka...
Mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa ya urembo (Miss Earth 2008), Miriam Odemba ameibuka mshindi wa pili katika fainali za mashindano hayo zilizofanyikia jioni hii katika ukumbi...
Mtangazaji maarufu hapa nchini Daniel kijo amesema kuwa boom la chuo likitumika vizuri linaweza leta mafanikio makubwa sana tena sana kwa wanafunzi tofauti na watu wanavyo fikiri!
Amesema yeye...
Huyu konde boy alimkubali sana JPM kama watanzania wengi walivyomkubali hadi akaamua kuchora bonge la tatoo mguuni
Konde boy sio msaliti kama vijana wengi walianza kumnanga JPM alipofariki .
Hii...
Kama ilivyo kawaida, kwenye maisha, kila mtu ana nafasi au zamu yake ya kung’ara na kutaradadi. Ndivyo ilivyo katika maisha ya kila mtu haijalishi taaluma ama kitivo.
Katika ukanda wa Afrika...
Bodi ya Magavana ya Chuo cha Sanaa na Sayansi ya Picha Motion imesogeza tarehe iliyopangwa ili kuamua kuhusu uwezekano wa vikwazo dhidi ya Will Smith kwa kumpiga kofi Chris Rock kwenye sherehe za...
Wana body,
Naomba kutoa duku duku langu kuhusu huyu jamaa anayejiita Daktari wa Kanumba kama ni daktari kweli au he is just an imposter anaye pose kama daktari na luckly Kanumba akamuaminia na...
Habari wana JF...
Kifo cha Star maarufu katika Upande wa movies kwa Jina la Steven Kanumba kimetikisa taifa kuliko ilivyowahi dhaniwa; Nakubali Kanumba was good na wengine wengi wanadiriki kusema...
Wanabodi,
Japo binafsi yangu sii mpenzi wa bongo movies ila huu msiba wa Kanumba umeigusa familia yangu haswa wife na girls wetu watatu ni wapenzi wakubwa wa bongo movies.
Baada ya wife...
Wababodi,
Japo mimi sio mshabiki wa Bongo Movies, wife na mabinti ni washabiki (Father of 6!, 3 girls & 3 boys).
Leo nimewahi home na kuangalia Clouds TV kipindi cha "Take One" na Zamaradi...
Wanabodi,
Mwanamke kutoka Zanzibar kwa jina la Bi Nasra, aliyejitambulisha kama mke wa kwanza wa president wa kwanza wa Zanzibar, anashiriki shindano la Bibi Bomba la Clouds FM!
Mwanamke huyo...
Mawakili wanaochunguza sakata la Ronaldo kumbaka Kathryn Mayorga wanataka kuwahoji Wapenzi wa zamani wa Mchezaji huyo, inaelezwa kuwa miongoni watakaohojiwa ni Kim Kardashian, Paris Hilton, Gemma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.