MIRIAM ODEMBA;Aibuka Mshindi wa Pili Miss Earth! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MIRIAM ODEMBA;Aibuka Mshindi wa Pili Miss Earth!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Fidel80, Nov 10, 2008.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa ya urembo(Miss Earth 2008), Miriam Odemba ameibuka mshindi wa pili katika fainali za mashindano hayo zilizofanyikia jioni hii katika ukumbi wa Clark Expo Ampitheater mjini Pampanga.

  Mshindi wa kwanza ni Karla Paula Henry kutoka nchini Philippines huku nafasi ya tatu ikienda kwa Miss Mexico,Abigail Elizalde.Mshindi wa nne ni Miss Brazil,Tatiene Alvez.Jumla ya washiriki 84 walishiriki shindano hilo.

  BC inatoa hongera nyingi kwa Miriam Odemba,kampuni ya Compass Communications chini ya Maria Sarungi na watanzania wote kwa ujumla.Well done Miriam!!

  Odemba.jpg
   
 2. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  She made it...hongera you look tanzania...kabisa.
   
 3. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Unastahili...
   
 4. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2008
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hakika Miriam umeweza kuitangaza Tanzania kwenye ramani ya ulimwengu. Congratulations and God Bless You!!
   
 5. M

  Mama JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Miriam hongera sana. Pamoja na vikwazo vingi hukukata tamaa. Hakuna mafanikio bila kujituma.
   
 6. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145

  Nini....................?
   
 7. M

  Mundu JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2008
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Miriam ni mrembo haswa.... still bado ni mrembo kwelikweli. ni kama pale aliposhiriki na kufanya vema kwenye face of Afrika, miaka ileee. Hongera Binti or sorry mama! Hivi how old is she now? nakumbuka aliposhiriki Miss Tanzania kwa mara ya kwanza alikuwa 17.
   
 8. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Miriam anastahili kwani hutaki?
   
 9. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  [​IMG]


  Kwa pozi nimemkubali, hata mpangilio wa vidole unadhihirisha. Photographer watakuwa wanampenda awapo kazini. Can we get some more photos of her on the stage?

  Warembo wengine wapigwapo picha wanakuwa kwenye pose/posture zisizovutia.


  [​IMG]
  Miriam alizaliwa mkoani Arusha mwaka 1983. Hivi sasa anafanyia shughuli zake huko barani Asia.

  More photos.  .
   

  Attached Files:

 10. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2008
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Hivi nani ajua sababu ya ile contract yake kukatishwa baada ya kushinda faces of Africa 2001?, mengi yalisemwa kuna mwenye dataz jamani?
   
 11. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Hivi kwa nini alikimbia USA, baada hata ya kuanza kuwa na matangazo ya Gap? Halafu ghafla yote yakashushwa chini hivi kilimtokea nini hasa?
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Shes just 21 unajua tena ma model wetu umri wao huwa haongezeki teh teh teh teh !!
   
 13. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #13
  Nov 11, 2008
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,427
  Trophy Points: 280

  ilichangiwa na utoto na kukosa muongozo mzuri ....wakati huo ndio mentor wake MARIA MONGI alifariki.......

  MARIA MONGI...ndiye aliyemgundua huyu binti ..maria R.I.P ...anasema siku hiyo alikuwa amekwenda temeke uswahilini kutembelea jamaa zake ...akawa yupo dukani anakunywa soda ...mara akakiona kibinti chembamba kirefu ..kizuri sana ...by then 16...KIMETUMWA dukani ...kiko peku hopefully siunajuwa za uswazi....akaaza kukihoji maswali....kilimfurahisha hadi ikabidi afuatane nacho hadi kwa mama yake [walipokuwa wamepanga chumba]...from there everthing was history....alimshawishi akaingia MISS temeke...NADHANI miriam alishinda ..then miss tanzania ...she was TOP FIVE....Then M NET...akashinda mkataba......

  ule mkataba ulikatishwa kwani..miriam alikuwa hafuati masharti ya nutrician wa M NET ..ikapelekea kunenepa......baada ya kurudi alikutana na ups and down.....na kukimbizwa kimbizwa na mabazazi ya dar es salaam ...kabla hajaamua kuhamia china ambako alipata lucrative contaract.....nadhani siku hizi atakuwa amefanikiwa kuyabadili maisha yake kutoka ya uswahilini hadi ...maisha ya kujiweza vilivyo....

  ni moja ya icon wa urembo nchi hii ...na mrembo wa asili......ingefurahisha kama MARIA MONGI angekuwa hai kuyaona mafanikio yake..lakini nadhani ...MIRIAM SARUNGI hakufanya kosa kumpeleka mashindanoni..na fahari imekuwa yetu sote watanzania..

  mara zote huwa nasema kuwa miriam sarungi anaweza kuendesha mashindano ya urembo na mara nyingi hupata warembo classic..huwezi kufananisha warembo wake na warembo wa kina LUNDENGA ambao wengi walikuwa wahudumu wa saloon..au relevant...badala ya kufanya juhudi kuwagundua warembo wapya...nadhani kuna tatizo kwa kina lundenga kupata warembo wazuri wa kushiriki...ni wazazi wachache watakaomkubalia lundnga kumpa binti zao .....tofauti na maria sarungi..huwa anao uwezo wa kugundua mrembo na kwenda kwa wazazi wake kumuombea ruhusa na akakubalika....kama alivyokuwa akifanya maria mongi...

  INGEKUWA NINA UWEZO LESENI YA KUANDAA MISS TANZANIA NINGEWANYANGANYA KINA LUNDENGA..........na kutoa ushindani mpya.....
   
 14. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2008
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Do you mean AMINA MONGI AND MARIA SARUNGI?,
   
 15. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2008
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mimi hapo nakataa kabisa huyo demu hastahili kabisa kupata hilo taji alilopata bongo kuna mademu wazuri lakini sio huyo kabisaaaaaaaa
   
 16. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2008
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ukimsoma phillemo mikael. Anasema alipokutana na Amina Mongi alikuwa na miaka 16 na Amina Mongi alifariki miaka ya kama sikosei 1998-2000 sina kumbukumbu sawasawa lakini ni kati ya kipindi hicho. hivyo kwa sasa anatakiwa kuwa na miaka zaidi ya 25 kwenda juu na siyo 21 kama ulivyosema
   
 17. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2008
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280


  Take usitake Miriam Odemba is Cute!!!! Tena anapenda Uafrica na Utanzania wake. Pamoja na uzuri wote huo, she is descent!!! Tena ana juhudi sana.Kumbuka binti alikuwa hata elimu si kubwa lakini alifanya juhudi akasoma na sasa hivi hata media wanamsifia sana katika kujibu maswali. She is a brave young girl!!! Keep it up!!!! Pengine wewe Yasin si Mtanzania!!! Waweza kuwa ndugu wa yule Miss wa 2007 Mhindi ambaye alivyo mbaya kwa sura hata mtoto mdogo akikutana naye ataaangua kilio. At kwa kuwa waheshimiwa wa Vodacom waliochanga kununua gari lile ni wahindi then wakaamua kumpa ushindi mhindi.

  Tanzania ina visura bwana!! Ukweli na habari ndo hiyo!!!!
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkuu unauhakika lakini? Anyway Beauty is in the eyes of the beholder
   
 19. Jambazi

  Jambazi JF-Expert Member

  #19
  Aug 14, 2015
  Joined: Jan 18, 2014
  Messages: 14,422
  Likes Received: 12,570
  Trophy Points: 280
  Mbona mbaya hvyo du!
   
 20. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2015
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  We nawe mada hii umeifukunyua wapi?
   
Loading...