Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Msanii Zuchu aliamua kumtambia Shabiki yake kwenye mtandao wa instagram baada ya shabiki huyo kumwambia Zuchu kuwa alikuwa anamzidi uzuri na hadi sasa bado anamzidi uzuri... Zuchu baada ya kuona...
6 Reactions
62 Replies
7K Views
At their peak....MATONYA NA MB DOG,nani hatari zaidi?
5 Reactions
46 Replies
5K Views
Msanii Ibraah kutoka Konde Gang ameweka rekodi ya kihistoria baada ya kuweka video ya wimbo wake mpya uitwao "rara". Wimbo huo umeweka rekodi ya kupata views zaidi ya laki tatu chini ya dakika...
5 Reactions
37 Replies
47K Views
Baada ya msanii namba moja Africa Diamond Platnumz kutoa part one ya FOA WORLD TOUR na kujumuisha mkoa wa Mwanza, watu mbalimbali wamejitokeza na kutoa shukrani kwa heshima aliyowapa watu wa...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Ken Walibora- Kidagaa kimemwozea Hayati Ken Walibora- alikuwa mwandishi wa vitabu vya fasihi kutokea nchini Kenya. Kwenye kitabu chake kimoja kinachoitwa Kidagaa kimemwozea alikuwemo mhusika...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ikiwa ulidhani kwamba sakata la kofi lililotikisa 'dunia nzima imekwisha, hakika umekosea. Siku chache baada ya Will Smith kumpiga Chris Rock bila kutarajia katika tuzo za Oscar za mwaka...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Mcheshi Erick Omondi amekashifiwa kwa kula uroda na msichana katika hoteli moja jijini Nairobi halafu akakosa kutimiza ahadi ya kulipa binti huyo shilingi elfu ishirii na tano za Kenya...
4 Reactions
42 Replies
6K Views
Anaandika Afande Sele Nimeongea tena na Tcra muda huu wanadai kabla ya kuendelea na chochote kwanza nifute huo wimbo popote ulipo. Ingawa sijajua kosa langu na sijaridhika na makatazo yao...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Baada ya kimya cha muda mfupi, hatimayeJada Pinkett Smith amevunja ukimya baada ya tukio la mumewe kumpiga kibao Chris Rock kwa kumfanyia mzaha katika usiku wa utoaji wa Tuzo za heshima za...
5 Reactions
100 Replies
8K Views
Kiukweli nilikuwa hata sijui kama ni leo ila Katika pitapita za kubadilisha TV channels ndio nakutana nazo Ukiachilia promo ambayo imeonekana kuwa na udhaifu, bado kuna mambo mengi ya kuboresha...
10 Reactions
237 Replies
15K Views
Tuzo za Muziki za Tanzania (TMA) 2021 zinatolewa usiku huu wa Aprili 2, 2022 ikiwa ni miaka 7 imepita bila uwepo wa tuzo kama za muziki kama hizo Nchini Tanzania. TUZO ZA HESHIMA Shughuli...
2 Reactions
15 Replies
6K Views
Artist Unashinda Tuzo Ya Muziki, Toa Speech Mshukuru Producer, Shukuru Label, Management, Family, Media House & Fans! HAYA MAMBO UNAPANDA UNAISHUKURU SERIKALI, UNAMSHUKURU MAMA MHESHIMIWA, AAH...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Anaitwa Rege Jean Page ni raia wa Uingereza. Amezaliwa 1988 ana miaka 34. Ni muigizaji. Ameigiza muvi na tamthilia nyingi ila tamthilia iliyompa umaarufu ni bridgerton, aligiza kama Duke of...
19 Reactions
217 Replies
16K Views
Marioo kaonyesha ambacho tumekuwa tunawaambia kila siku kuwa ni mkubwa kuliko Konde. Kwenye category ambazo wamesimama wote Marioo kamgalagaza vibaya huyo hamonaizi. Tunawaambia tena achaneni na...
11 Reactions
25 Replies
4K Views
Tafadhali sana umemkuta Harmonize akiwa kwenye peak na nyimbo zake very hot, endeleze walipoishia WCB na azidi kupaa zaidi. Chagueni ngoma kali za kurelease, lakini kwa mwendo huu wa nyimbo mbovu...
12 Reactions
151 Replies
25K Views
Mkali huyo ambaye jina lake halisi ni Rosary Robert, mzaliwa wa Moshi Tanzania, leo kupitia ukurasa wake wa Instagram awakumbusha wakali wenzie kadhalika na mashabiki kuwa yeye ndio rappa Bora...
5 Reactions
60 Replies
5K Views
Muvi iliyompa Will Smith tuzo ya Oscar ni King Richard. Hii muvi inaelezea maisha ya wacheza tennis wawili wakubwa, Venus William na ndugu yake, Serena. Ninaipenda sana muvi hii, tena sana kwa...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu sasa tangu 2011, sifuatilii habari mbalimbali kupitia Redioni na kuangalia Luninga/Television. Kwa sasa mitandao ya kijamii ndio chanzo kikuu kinachonipatia habari mbalimbali...
5 Reactions
16 Replies
4K Views
Alipoulizwa na mtangazaji wa Global kuhusu Zuchu kumnunulia gari, Khadija Kopa alisema kuna kuzaa na kunya na yeye ni miongoni mwa watu walio zaa, maneno hayo yametafsiliwa tofauti na watu...
6 Reactions
73 Replies
9K Views
Hivi huyu dada aliyekuwa muigizaji mwenza Steven Kanumba atakuwa Yuko wapi siku hizi? Mbona Kama hayuko kwenye Bongo Movie ckuiz. Binafsi nilikuwa namkubali Sana kipindi anaigiza na Kanumba has a...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom