Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Nimi sio mpenzi wa mziki ila huwa naisikia tu redioni. Ni kati ya wanamuziki wachache sana wenye vipaji vya kurap pamoja na kina M.r bluu. Aliibuka vizuri sana kwenye mziki wa bongo fleva lkn...
3 Reactions
48 Replies
7K Views
Koh koh koh, yooooo jeshiiiiiiii , views for everibadeee Cha ajabu jamaa hajali kabisa na anajiona tembo, kapost kwenye page yake kujipongeza huku akila mafegi kho!! Kho!! Kho!! Views milioni...
8 Reactions
95 Replies
9K Views
Brooklyn Beckham mwenye umri wa miaka 23 amefunga ndoa na Nichola Peltz. David amewazawadia wanandoa Jaguar ya umeme model ya 1954 bei yake ni £350,000. Baba yake Nichola ni millionaire huko...
16 Reactions
142 Replies
11K Views
Leo nilikuwa benki moja katika hali ya kushangaza teller aliyenihudumia alikuwa ni mwanadada Kajala. Kwa sababu za kibiashara inabidi jina la benki libaki kapuni. Hongera dada katika safari yako...
13 Reactions
64 Replies
12K Views
Huyu dada tokea apate mimba amekua anazurura sana. Kila siku anapigwa picha na paparazzi yupo sehemu tofauti tofauti. Hivi huwa anaendaga wapi? Au mimba yake aliipatia akiwa kwenye ziara 🤔...
6 Reactions
81 Replies
8K Views
Wadau, kichwa cha habari chajieleza. Mtangazaji Maulidi Kitenge hajaondoka Wasafi FM Radio bali amefurushwa kwa sababu ya safari zake za mara kwa mara nje ya nchi, hususan nchini Marekani. Kwa...
31 Reactions
164 Replies
31K Views
Uki unganisha dots kipindi Diamond Platnumz alivyokuwa na bifu na marehemu Ruge Konki Master alikuwa anamtukana sana pia baada ya Harmonize kujitoa Wasafi Konki Master akawa anamtukana mnoo...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Maisha yana kwenda kasi jamani.udongo unakula watu sana. Taarabu ya kipindi cha nyuma ilikuwa nzuri na ilikwenda sambamba na bendi miaka hiyo. Kuna kipindi taarabu ilikuwa na vijembe mpaka...
36 Reactions
166 Replies
29K Views
Wapendwa wana JF Leo ningependa tumkumbuke Hayati Nicholaus Zengekala ambaye alikuwa mwanamuziki asiyeona (kipofu). Ninakumbuka Nyimbo zake kama SOLEMBA, na JACK MTOTO WA NAIROBI Huyu ndugu kwa...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Moja kati mabondia bora kabisa kuwahi kutokea. Binafsi huwa navutiwa sana na vituko vyake enzi hiyo. Vilivyonivutia sana ni hivi... Kwa mujibu wa Fat Joe. Siku moja Joe na Big Pun walibananishwa...
17 Reactions
53 Replies
11K Views
wadau wamjia juu hatari....
2 Reactions
65 Replies
20K Views
Msikilize mwenyewe: Akaulizwa: How old are you? Diamond: 31st 😎
16 Reactions
130 Replies
14K Views
Will Smith hataruhusiwa kuhudhuria Tuzo za Academy kwa miaka 10 ijayo, kutokana na kumpiga kibao mcheshi Chris Rock jukwaani wakati wa sherehe ya mwaka huu ya Oscar, The Academy of Motion Pictures...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Achilia mbali ongezeko la wingi wa waigizaji wa kike ndani ya bongo movie, ni wanawake wachache tu wenye kutambua thamani ya utu wao na hata kazi ya uigizaji walioamua kuifanya. Waliamua kuweka...
1 Reactions
25 Replies
14K Views
Mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa ya urembo (Miss Earth 2008), Miriam Odemba ameibuka mshindi wa pili katika fainali za mashindano hayo zilizofanyikia jioni hii katika ukumbi...
3 Reactions
29 Replies
12K Views
Mtangazaji maarufu hapa nchini Daniel kijo amesema kuwa boom la chuo likitumika vizuri linaweza leta mafanikio makubwa sana tena sana kwa wanafunzi tofauti na watu wanavyo fikiri! Amesema yeye...
13 Reactions
141 Replies
11K Views
Huyu konde boy alimkubali sana JPM kama watanzania wengi walivyomkubali hadi akaamua kuchora bonge la tatoo mguuni Konde boy sio msaliti kama vijana wengi walianza kumnanga JPM alipofariki . Hii...
11 Reactions
40 Replies
4K Views
Kama ilivyo kawaida, kwenye maisha, kila mtu ana nafasi au zamu yake ya kung’ara na kutaradadi. Ndivyo ilivyo katika maisha ya kila mtu haijalishi taaluma ama kitivo. Katika ukanda wa Afrika...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Bodi ya Magavana ya Chuo cha Sanaa na Sayansi ya Picha Motion imesogeza tarehe iliyopangwa ili kuamua kuhusu uwezekano wa vikwazo dhidi ya Will Smith kwa kumpiga kofi Chris Rock kwenye sherehe za...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom