Daktari wa Kanumba ni Imposter?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Daktari wa Kanumba ni Imposter?!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Pascal Mayalla, May 21, 2012.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,598
  Likes Received: 18,598
  Trophy Points: 280
  Wana body,

  Naomba kutoa duku duku langu kuhusu huyu jamaa anayejiita Daktari wa Kanumba kama ni daktari kweli au he is just an imposter anaye pose kama daktari na luckly Kanumba akamuaminia na kumfanya ni daktari wake!.

  Japo bado sijafanya search yoyote kuestablish authenticity ya udakitari wake, lakini hivi karibuni amekuwa aki onekana sana kwenye media and he just talks too much but doesn't sound as a doctor but just as a layman!.

  Nina mashaka sana na huyu jamaa and I seriously doubt him hata kama japo hata u - medical assistant. I think ni imposter!.

  Pale kwenye msiba niliongea nae akasema yeye alifika kwa K saa 7 usiku na alipompima aligundua ameshakufa!. Ila hakuwaambia aliowakuta ili wasishtuke!. Eti baada ya kujua K keshakufa, ni yeye ali valisha nguo na kuwadanganya waliopo wamuwahishe hospitali!. Hivi kweli ni vitendo vya professional doctor!.

  Hiyo story ya L kupigwa sana na kujeruhiwa vibaya pia aliisema!. L alikutwa night club akijirusha!.

  Kitu kikubwa kabisa na cha ajabu alichokifanya huyu anayejiita daktari wa K ni kitebdo cha kutoa siri za K na za wanawake wa K anaodai aliwatoa mimba za K kwa maelekezo ya K!. Nilichoka kabisa!.

  Nawathibitishia kesi itakapo anza, mtalishuhudia hili la imposter kujifanya ni medical doctor !. Mkumbuke pia ni doctor huyu huyu ndio ameigiza movie ya mwisho ya K yeye akiact ni daktari!.

  Hivyo nawaombeni sana, yote yanayotamkwa na daktari huyu, sio ya kuyaaminia kisaana, to be on a safe side, nashauri tuyachukulie kijuu juu!.

  Paskali
   
 2. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hata mimi nimeliona hilo,awe macho media ni traditional intelectual wanapokujenga kuna posibility kubwa ya kukubomoa.
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,126
  Likes Received: 6,611
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nakubaliana na wewe mkuu,
  tena atakuwa ndiye muuaji mkuu,

  Sijui kwanini huyu daktari na mdogo wa marehemu
  bado wako nje hadi sasa wakati wanaonekena moja kwa moja
  ndio wahusika wakuu.
   
 4. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hat mimi nilimsikiliza redioni anaongea vitu viingi sana kwa wakati mmoja anajichanganya sana, anachekacheka hayuko serious.
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kwanza angekuwa daktari asingejitangaza kutoa mimba.....
   
 6. Brown ad

  Brown ad JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 347
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  huyu mzinguaji tu, naiyo ya kutoa mimba ni kesa nyingine tena usikute hii mimba ya lulu walokua ktk harakati za kuitoa sema mambo yameharibika!
   
 7. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hayaaaaaa ..... Tujuzeni tu
   
 8. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Napenda sana analysis zako Pasco hasa ambazo hazimuhusishi EL.
  Hili ulilolisema sounds to be logicaly true.
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Pasco na wewe umeingia kwenye mtego huu wa kujadili habari za Kanumba? why Kanumba? Ina maana Pasco mwenzetu umejaliwa uwezo wa kumgunduwa mtu ambaye siyo daktari kwa macho tu?

  Issue siyo huyo anayesemekana kuwa Daktari wa Kanumba kwamba lazima awe MD kwa utamaduni wetu wa Kitanzania mtu yeyote mwenye mafunzo ya Medical akiwa ni mwanaume sisi tunamwita Daktari na Watanzania hatuna utamaduni wa kuwa na Personal Dr, kwa vyovyote huyo alikuwa ni Dr wao wa kumaliza vimeo vyao

  Kinachonisikitisha zaidi mtu makini kama wewe bado unaturudisha nyuma kujadili kifo cha mzinzi na mbakaji ambaye alifikwa na umauti katika mazingira yasiyopendeza huku akijihusisha kingono na mtoto mdogo ambaye alishaanza kumuharibu tangu akiwa na miaka 14.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. bg_dg_dy

  bg_dg_dy JF-Expert Member

  #10
  May 22, 2012
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 449
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  Millard ayoo nae ni wale wale, sasa ni taaroifa gn anaitoa kwenye media isiyothibitishwa? Redio ya wafu nao ni wale wale seba prog manager hw cn u approve such prog to b aired? Halafu mijitu mijinga inamsapoti Millard kwa ***** alioutoa
   
 11. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hata mimi nilisikia alivyokua anahojiwa. Kuna maswali mengi sana ukifuatilia maelezo yake kuliko majibu kuhusu udaktari wake. Hata yule ndugu wa K. alipohojiwa alisema daktari alisema hana usafiri wa kuenda kwa K. siku aliyopata tatizo hadi alipomfuata ndio akafika eneo la tukio???????? Kwanza mbona hajulikani daktari wa hospital gani. Mwacheni tu ajichanganye hajui yeye atakua shahidi na. 2 ukiacha Mdogo wa K. Huko ndio atatueleza udaktari wake.
   
 12. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,598
  Likes Received: 18,598
  Trophy Points: 280
  Mkuu Matola, japo super star kwa mkeo na wanao sio lazima awe ni super star kwako lakini msiba wa mkeo na wanao ni msiba wako!. K was super star kwa familia yangu hivyo ulikuwa ni msiba wetu na msibani nilikwenda!.

  Watanzania tuna utamaduni wa kuzungumza mazuri tuu kuhusu marehemu, kwa vile no one knows alisema nini kabla roho haijaacha mwili, ule umati ni uthibitisho alitubu and belive me, he is a saint now na kazi yake kubwa ya kwanza atakayoifanya kama malaika ni kumnasua yule binti katika dhahama aliyomuachia!.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,598
  Likes Received: 18,598
  Trophy Points: 280
  Mkuu Chilli tatizo langu kubwa ni kuwa mkweli mno!. Hata hayo ninayoongeaga kumhusu EL ndio ukweli wenyewe!. Tatizo membas wengi humu hawapendi ukweli mchungu na wengine ni hate preachers na prophets of the doom ambao wamegubikwa na chuki dhidi ya watu fulani fulani.
   
 14. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Daktari anaweza kukiri kutenda uhalifu (kutoa mimba) hadharani? Inatisha sana.
   
 15. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mkuu Pasco[/MENTION] habari zako zingekua njema sana na zingenoga kama ungeacha maneno ambayo yanaonesha wazi unatamba na kujimegea maujiko yasiyo na msingi...km:nilikuwepo kwenye msiba...nilienda kuzika...niliongea na dk nk!...


  kifungu cha mwisho hapa umeongelea kuhusu UMATI wa watu kwenye msiba wa K unaonesha kuwa ameenda peponi...hii ni BIG NO!wingi wa watu haumshawishi MUNGU kumfutia mtu makosa yake...its a personal thing na sio umati!kama hakutubu mwenyewe(K) hata dunia ingehamia pale sinza katu asingeuona UFALME WA MUNGU.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,296
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Unamsemea Sir God??!!!!
   
 17. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #17
  May 24, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Inawezekana siyo MD ni Mganga wa kienyeji na sio wa binadamu .Ebu chunguzeni .Kwani hata akina Maji marefu,manyaunyau nk wanajiita madocta
   
 18. S

  Safhat JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh!endeleeni wadau.langu ji...
   
 19. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,126
  Likes Received: 6,611
  Trophy Points: 280
  Kweli Kanumba (R.I.P) hatutakuona tena kwenye macho
  yetu ya nyama.
   
 20. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Pasco wakati mwingine huwa unatafuta mwenyewe kudhalauriwa hata na kichaa, kwanza kabisa kwenye hiyo Red ya kwanza niombe radhi mimi na Familia yangu, usidhani Familia zote zinafanana na ya kwako kushabikia vitu vya kipuuzi. Nonsense.

  Hapo kwenye RED ya pili nadhani wewe ni muumini wa dini za kishetani, kwa sababu hakuna dini yeyote inayosema ukizikwa na umati wa watu wengi wewe unakwenda kuwa Saint! umepotoka tena nashangaa mtu kama wewe kuwa na akili za kijinga kiasi hiki.

  Kama Mwandishi wa Habari nguli kama wewe unakuwa na akili za kijinga kiasi hiki basi Taifa letu lipo kwenye mkwamo mkubwa na kuanzia leo sitowashangaa tena watu waliogeuka makasuku na hadithi za kusadikika kuhusu Freemasons. Tanzani kamwe haitojiondowa kwenye umaskini kama watu waliopaswa kutoa Elimu wao ndio wanaongoza kwa mawazo ya kishetani.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...