Nimemkumbuka Nasma Hamisi Kidogo aliyemtikisa Khadija Kopa kwenye taarabu

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,709
Maisha yana kwenda kasi jamani.udongo unakula watu sana.

Taarabu ya kipindi cha nyuma ilikuwa nzuri na ilikwenda sambamba na bendi miaka hiyo. Kuna kipindi taarabu ilikuwa na vijembe mpaka majirani wakawa wanagombana. Nasma Hamisi kwenye nyimbo zake zilikuwa na mchuano na Khadija Kopa kwa vijembe.

kama mpaka leo angekuwepo hata khadija kopa angekuwa bado na taarabu yake ileile. Sawa na Kanumba na Rey, Akudo na Fm Academia n.k

R.I.P

Screenshot_20220405-070412_Gallery.jpg

Nasma Hamisi(Kushoto) akiwa na Khadija Kopa​
 
Maisha yana kwenda kasi jamani.udongo unakula watu sana.

Taarabu ya kipindi cha nyuma ilikuwa nzuri na ilikwenda sambamba na bendi miaka hiyo.

Kuna kipindi taarabu ilikuwa na vijembe mpaka majirani wakawa wanagombana.

Nasma Hamisi kwenye nyimbo zake zilikuwa na mchuano na Khadija Kopa kwa vijembe.

kama mpaka leo angekuwepo hata khadija kopa angekuwa bado na taarabu yake ileile.

Sawa na Kanumba na Rey, Akudo na Fm Academia n.k

R.I.P

View attachment 2174404

thank you for your service to the entertainment industry and our country.

May your soul continue to Rest in Eternal Peace. Amen.
 
Maisha yana kwenda kasi jamani.udongo unakula watu sana.

Taarabu ya kipindi cha nyuma ilikuwa nzuri na ilikwenda sambamba na bendi miaka hiyo.

Kuna kipindi taarabu ilikuwa na vijembe mpaka majirani wakawa wanagombana.

Nasma Hamisi kwenye nyimbo zake zilikuwa na mchuano na Khadija Kopa kwa vijembe.

kama mpaka leo angekuwepo hata khadija kopa angekuwa bado na taarabu yake ileile.

Sawa na Kanumba na Rey, Akudo na Fm Academia n.k

R.I.P

View attachment 2174404
Alikuwa bendi ya Muungano cultural troupe hawa jamaa walijua kuchezea instruments watakavyo kwanza wimbo tupu unavyoanza unapewa dakika kama mbili hivi usikilize ufundi wao wa kupiga instrumental then ndio vocals zinafuatia.

Rest in peace mamkuu
 
36 Reactions
Reply
Back
Top Bottom