Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Nimesikitishwa sana na Kifo cha Maunda Zoro, vibao vyake ni vya enzi zangu nilivipenda sana. Nakumbuka mchumba wangu wa enzi hizo akiniimbia Nataka niwe wako. Ila nimesikitika zaidi kwa kuwa...
18 Reactions
177 Replies
21K Views
Wadau wa burudani nadhani mnamkumbuka uyu mtu nimesikiaa wimbo wa kikao cha dharula wa prof jay nikakumbuka hiki kipaji kilichojizolea umarufu kwa kuiga sauti za watu mashuhuri mbali mbali hapa...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Mwanamuziki wa, Diamond Platnumz Akiwa Kwenye Interview na Kituo cha #BBCSwahili Jijini London Ametaja Sababu Ya Yeye Kutoshiriki Kwenye Tuzo Za Muziki Nchini. "Namshukuru Waziri Wa Sanaa Michezo...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
Mwanamziki wa Bongo fleva Omary Nyembo a.k.a Ommy Dimpozi hivi karibu ameachia song lake la Umeniweza baada yakukaa kwa muda mrefu bila kuachia anysong wimbo wake kiukweli ni mzuri kuanzia beat...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Muhuni ni muhuni tu, Wakati Bad Girl RiRi anaachana na boyfriend wake wa kiarabu tajiri wa mafuta na kuanza mahusiano na muhuni Rapper Asap Rocky wengi walishangaa na hawakumuamini Asap kama...
22 Reactions
166 Replies
13K Views
Harmonize ameamua kumnunulia mwanamke mwenye shape lake zuri kwa Tanzania bara na visiwani gari aina ya Land Rover Range Rover 2021 lenye thamani ya zaidi ya milioni 400 hapo bado ushuru! kuna...
8 Reactions
72 Replies
8K Views
Mrembo aliyeanza kujulikana kwenye video ya KWETU ya Rayvanny kama video vixen (LYYN)katika mahojiano na vyombo vya habari amefunguka kuhusiana na maisha yake pia na kusema aina ya mwanaume...
10 Reactions
53 Replies
4K Views
Rihanna na A$AP Rocky ni mojawapo ya couple kali zaidi katika tasnia ya muziki! Rihanna amekuwa kwenye mahusiano na mpenzi wake A$AP Rocky kwa muda mrefu, kwa siri kabla ya kuthibitisha kuwa...
6 Reactions
20 Replies
4K Views
Ule mpambano wa kukata na shoka kati ya Mikey Garcia na Errol Spence hatimaye umewadia. Errol Spence anatetea mkanda wake wa IBF dhidi ya Mikey Garcia. Mikey Garcia amepanda uzito mara mbili...
0 Reactions
45 Replies
3K Views
Mwanadada mrembo wa aina yake,aliye na ngozi ya asili asiyetumia mkorogo kama warembo wa mjini ambaye ni mwanamziki pia video queen official Lynn ambaye umaarufu wake ulianza baada ya kushiriki...
5 Reactions
167 Replies
21K Views
0 Reactions
5 Replies
966 Views
Mimi nimeona nisiwe mnafki huyu mmakonde akitulia huwa anafanya unyama Sana, tangu asubuhi wimbo naurudia rudia tu. Japo marioo naye hajapoa lakini nachelea kusema harmonize kamfunika marioo Sana...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Baada ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda, hatimaye staa wa muziki Jennifer Lopez na muigizaji wa filamu za Hollywood, Ben Affleck wametangaza kuwa wachumba baada ya kuvalishana pete...
4 Reactions
55 Replies
6K Views
Nimi sio mpenzi wa mziki ila huwa naisikia tu redioni. Ni kati ya wanamuziki wachache sana wenye vipaji vya kurap pamoja na kina M.r bluu. Aliibuka vizuri sana kwenye mziki wa bongo fleva lkn...
3 Reactions
48 Replies
7K Views
Koh koh koh, yooooo jeshiiiiiiii , views for everibadeee Cha ajabu jamaa hajali kabisa na anajiona tembo, kapost kwenye page yake kujipongeza huku akila mafegi kho!! Kho!! Kho!! Views milioni...
8 Reactions
95 Replies
9K Views
Brooklyn Beckham mwenye umri wa miaka 23 amefunga ndoa na Nichola Peltz. David amewazawadia wanandoa Jaguar ya umeme model ya 1954 bei yake ni £350,000. Baba yake Nichola ni millionaire huko...
16 Reactions
142 Replies
11K Views
Leo nilikuwa benki moja katika hali ya kushangaza teller aliyenihudumia alikuwa ni mwanadada Kajala. Kwa sababu za kibiashara inabidi jina la benki libaki kapuni. Hongera dada katika safari yako...
13 Reactions
64 Replies
12K Views
Huyu dada tokea apate mimba amekua anazurura sana. Kila siku anapigwa picha na paparazzi yupo sehemu tofauti tofauti. Hivi huwa anaendaga wapi? Au mimba yake aliipatia akiwa kwenye ziara 🤔...
6 Reactions
81 Replies
8K Views
Back
Top Bottom