Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Waswahili wanasema mwanakulitafuta mwanakulipata. Baada ya kusikia kwamba Mbosso anaachia EP yake siku ya Ijumaa tarehe 28, October. Basi kama kawaida mzee wa kuvizia upepo ili abaki kuwa...
12 Reactions
89 Replies
11K Views
Mwanamitindo wa kike maarufu nchini Israeli YAEN COHEL miaka 25 ameilalamikia kampuni Moja ya kichina iliyozalisha midoli ya ngono yenye kufanana sura,umbo na kila kitu na yeye uku akiishutumu...
6 Reactions
141 Replies
12K Views
Uumbaji wa Mungu ni binadamu kupitia madaraja kadhaa ya maisha kabla ya kidogo. Utopia, ujanani na uzee ni madaraja tunayopitia binadamu. Wengine hufariki wakiwa watoto, vijana na kuna...
12 Reactions
37 Replies
4K Views
NI KISASI AU CHUKI...? "Tulisikia yowe kisha kishindo kikubwa, duuuuf. Baada ya hapo ilisikika sauti ya mwanaume ikipayuka." Ndivyo mashahidi walivyolielezea tukio la kifo cha Anele 'Nelli'...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Teddy Pendergrass 59, Marvin Gaye 44, Luther Vandross 54, Barry White 58. Legends, Gone too soon.
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimeitazama nikakumbuka enzi hizo alivyokuwa anapendwa sana. USSR
13 Reactions
47 Replies
3K Views
Hawa wote chazo Cha stress zao kinafana. Haji na Mkewe Harmonise na Mkewe (mchumba) Mwaka na Mkewe #Ishini nao kwa akili.
9 Reactions
28 Replies
3K Views
Rushyna wakati akitambulishwa kuwa Balozi wa Emish Beauty jijini Dar es Salaam amezungumzia pia kuhusu ndoa yake iliyovunjika kati yake na Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara...
14 Reactions
120 Replies
13K Views
Nelli Tembe alikuwa Mchumba wa AKA, alifariki August 2021. Kabla ya kifo chake alikuwa Hotelini na AKA. INADAIWA ALIKUFA BAADA YA KUJIRUSHA CHINI KUTOKA GHOROFANI. Baba wa Nelli Tembe Ni mtu...
11 Reactions
33 Replies
4K Views
Mimi nikiwa kama mdau wa viwanja vya starehe vya usiku, nimekuwa nikikutana na supastaa wa Tanzania, Hasheem Thabeet, ambaye anacheza mpira wa kikapu wa kulipwa huko Marekani. Wadau wa Arusha...
4 Reactions
49 Replies
15K Views
Hongera sana kwa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kufanikisha jambo kubwa la kutoa mikopo kwa Wasanii wa Tanzania. Ni jambo la kumpongeza Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
532 Views
[emoji3516] Mwaka2002 Mwisho Mwampamba wa Moro alikua mtanzania wa kwanza kushinda shindano la Big Brother Afrika kule kwa Madiba na aliporudi kwetu Morogoro akafanyiwa mapokezi makubwa ya...
25 Reactions
45 Replies
4K Views
Nafikiri ni nature tu vitu viwili vinavyovyutana huvuma saana Kanumba na Ray Kigosi walivuma saana kwenye bongo movie, sio kwa sababu walikuwa bora saana ila ushindani uliokwepo, Mwenyezi Mungu...
14 Reactions
59 Replies
5K Views
wasomi wote wa Cuba tuonane hapa Yule mwanamke alijipanga maana nimeona tamaa za wazi kisa kale kajumba ndio analeta vilio na unafiki mitandaoni salute kwa wasomi wa CUBA .
4 Reactions
50 Replies
4K Views
Aisee hii show ya grammys mwaka huu hatari. Miamba kadhaa ya Rap stage moja huku jay z akishuka verse yake ya karibu dkk 5 kwenye God did. Jionee mwenyewe hapa chini
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Aliyekuwa mke wa Manara inadaiwa alimuibia semaji la wananchi dola za kimarekani elfu kumi na saba karibu million arobaini hivi za kitanzania na kumpa bwana wake wa Kinigeria. Inadaiwa huo...
5 Reactions
53 Replies
5K Views
Tangu mwaka 2021 mwezi wa 11 tulipopata kilio cha mabando kupanda bei hakuna msanii yoyote hapa bongo alieweza kugonga views milioni 1 ndani ya masaa 24, ipo lebo flani ilikuwa inamwagia views...
11 Reactions
55 Replies
4K Views
WagwaNiiiiiii Ebhna simba mwenyewe chibu deee aka baba zuchu hiki kichupa alichoachia katuonesha kuwa bado ana uwezo wa kuendelea kutawala mziki wa bongo kwa zaidi ya miaka kadhaa sasa anataka...
18 Reactions
82 Replies
9K Views
Peter Msechu amefanyiwa matibabu ya kuweka puto tumboni ili kupunguza uzito na unene inayoendelea kutolewa katika hospitali ya Mloganzila. Peter Msechu amefunguka machache kuhusiana na changamoto...
39 Reactions
132 Replies
14K Views
Mimi naonaga tu ana maneno mengi lakini sioni uchekeshaji wowote. Yupo kama Kevin Hart, umachachari mwingi lakini content hamna. Sasa hapa lengo lilikuwa kuchekesha, japo kazingua hapo kuingiza...
12 Reactions
122 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…