Habari wa jukwaa
Katika muziki wetu hasa Wa bongofleva , kuliibuka makundi mawili yaliohasiana kutoka kundi moja LA TMK WANAUME lililokuwa na maskani yake pande za temeke na kuibuka makundi...
Leo nimekumbuka kipindi chako kilikuwa ITV sikumbuki jina kipindi kile ukifichua fichua mpaka wakakutia disprini.
Baadae ukaibuka Yanga nako ukawa DJ kushunundu.riziki si mwajuma japo wote ni...
Wakuu habari zenu,
Katika wimbo wa Saida Karoli unaoitwa Maria Salome' kuna mashairi yanasema
'Khalidi na Filimoni walipendana, mapenzi yao yakadumu,
Wenye wivu wajinyonge sana, wenye wivu...
Huko mitandaoni kuna Pepa la Hoyce Temu kutoka UN, Watasha wameropoka mbaya, Nimeliona kwa Mange kimambi na kwa @tzshadeeroom_backup inasemekana mwakilishi wetu huko Geneva alikua anazipiga sana...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja...
Kwa alichokifanya jana hapa Zanzibar ama kwa hakika wasanii wengine bado wana safari ndefu ya kujifunza toka kwa Diamond Platnumz aka Simba.
Kapiga show ndefu, show ya live na vibe kuanzia mwanzo...
Zuchu na Rayvanny ndiyo wameibuka kuwa wasanii bora kabisa mwaka huu hapa Afrika Mashariki.
Supastaa Zuchu anakimbiza sana mitaa yote Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo DRC, Djibouti...
Msanii chipukizi mwenye bahati ya mtende kuota Jangwani, wakuitwa Mavokali anapasua anga kama masihara.
Wengi naamini hammjui Mavokali na hamjui balaa analofanya uko duniani. Basi niwaambie ngoma...
Usiku wa tarehe 31 December, 2022 history inaenda kuandikwa.
Kijana kutoka mitaa ya Tandale, Diamond Platnumz aka Simba anaenda kuandika rekodi mpya kwenye ardhi ya Tanzania.
Kwa mkataba wa...
Nasemaje kuna Diamond Platnumz mmoja tu hapa Tanzania na mpinzani wake ni Nassib Abdul.
Mtapiga kelele zote mzimalize ila maji na mafuta hayakai pamoja daima. Muda ukifika hata ufanye nini...
...Kwa wale wafuatiliaji wa taarifa za habari katika TV zetu mtakubaliana na mimi kuwa huyu mwanadada Grace Kingalame ni moto wa kuotea mbali anapokuwa studio,hasa akiwa na Joseph Msami....Sidhani...
Wakuu kwema, Nawaomba hapa mnaefahamu Hip hop kwa undani kidogo.
Naomba kujua tofauti ya Rappers na Mcee ni ipi? Napenda Hip Hop lakini hadi leo hichi kipengele kwangu sikielewi..
Emcee na...
Mwimbaji Temilade Openiyi a.k.a #Tems kutoka Nigeria, ameweka historia ya kuwa msanii mwenye muda mfupi kwenye muziki na kufanikiwa kutajwa kuwania Tuzo maarufu ya #Oscar kupitia wimbo wa Lift Me...
Aisee yule mmakonde alikuwa hatari bwana.
Leo na hii mvua ya tangu jana usiku nikaona ngoja nijisikilizie nyimbo zetu za utuvu ndipo nikakutana na hii kitu 'Sanura' kutoka kwa huyu Tongolanga...
Habari.
Taarifa zisizo Rasmi inasemekana mtangazaji wa clouds na chawa promax wa wasanii mbalimbali nchini maarufu kama Mwijaku.
Amesimamishwa kazi na menejimenti yake baada ya utovu wa nidhamu...
Baada ya kununua helicopter yake ya kifahari, Diamond Platnumz ndio anakuwa mtanzania wa kwanza kumiliki helicopter ya kifahari.
Wapo matajiri wengine waliwahi miliki helicopter za kuungaunga ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.