Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Pamoja na kudhihakiwa sana mitandaoni huyu dogo anazidi kung'ara duniani. Apewe support na vyombo husika. Watanzania wanahitaji hv vipaji kuondoa stress
9 Reactions
49 Replies
7K Views
NI KISASI AU CHUKI...? "Tulisikia yowe kisha kishindo kikubwa, duuuuf. Baada ya hapo ilisikika sauti ya mwanaume ikipayuka." Ndivyo mashahidi walivyolielezea tukio la kifo cha Anele 'Nelli'...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Ngoma ya Msanii Roma Inayoitwa Mimi ni Nani haijafanya vizuri kama ilivyotarajiwa au ilivyotanguliwa na ile ya Nipeni Maua yangu Je shida ni nini? Amekosa content au style ya ngoma yake hii ya...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Kama ushawahi usikia huu wimbo Wa zali la mentali Wa prof Jay utakuwa na ww unatamani kujua ni nani yupo nyuma ya ile sauti ya kike katika ule wimbo. Ukiangalia video yake utamuona mwanadada...
0 Reactions
25 Replies
9K Views
Kupima ukubwa wa mtu ni lazma kujua ana nyimbo ngapi ametoa Toka ameanza Kuimba muziki, msaniii harmonize amerelease nyimbo 127 Toka ameanza Kuimba, na hii idadi amemuacha diamond mbali sana...
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Baada ya Konde kulia mbele ya media ku justify ubaya wa mondi, kumbe nae alimfanyia Angella [emoji23][emoji23] "Sikuwahi kuwa na mimba ya Harmonize wala hatukuwahi kuwa kwenye mahusiano na...
7 Reactions
50 Replies
5K Views
Madonna ameahirisha ziara yake baada ya kuwa mgonjwa na kukaa katika chumba cha wagonjwa mahututi kwa siku kadhaa. Taarifa iliyotumwa kwenye Instagram na meneja wa mwanamuziki huyo wa Marekani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakazi wa Iringa hivi huyu mwamba wa Iringa aliyewahi kumiliki vibasi vyanavyokwenda Ilula na Zahanati yupo? Anaendeleaje na maisha yake ambayo ni hadithi tosha yenye mafunzo kwa watu?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naona wanatupia picha zenye makalio yao,sasa sijui ndio kututamanisha tuvunje amri ya Mungu inayotuasa tusitamani mwanamke asiye mke wetu au vipi? Mimi kama kijana wa kilokole sijapenda hii tabia...
8 Reactions
254 Replies
33K Views
Chukua hata uraia wa Marekani kwa muda ukane huu wa bongo. Ukifika kule anzia chini kabisa, jishushe fanya remix ya nyimbo zako hasa zile za zamani ukiimba kiingereza kwa wingi kiswahili kidogo...
7 Reactions
103 Replies
6K Views
Sometimes inabidi tukubali kuna watu mapengo yao hayana replacement kutokana na uwezo extra walionao. Radio Free Africa ilipoteza mvuto baada ya kuachana na waandishi wao ambao hata leo hii ni...
11 Reactions
63 Replies
6K Views
#BURUDANI Msanii wa HipHop @roma_zimbabwe amefunguka kuwa tafiti zake zimeonesha kuwa marehemu Albert Mangwea alikuwa anapendwa na wasanii wenzake wote hasa wa kizazi cha sasa. "Tafiti yangu...
2 Reactions
3 Replies
894 Views
Jana ndio ilikuwa Mara yangu ya kwanza nasikia ngoma ya lavalava nilikuwa sijawahi kuitafuta kuisikiliza ila wakati nipo kwenye daladala ndipo ngoma nikaisikia ya Tajiri jamaa latisha Sana kuanzia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo 27-04-2020 Mwana FA Atakua Clouds FM Kwenye kipindi Cha XXL Kuanzia 13:00 - 16:00 Zimetimia jumla ya siku 39 tangu ‘Shabaan Robert wa Kizazi Hiki’ MwanaFA ajitangaze kuwa mmoja wa waathirika...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Ni vibe la hela yote, ni shangwe za volume yote, ni cheers za glasi zote kwa Mashabiki, Wafuasi na Wa-Cloudsnia wote ndani na nje ya Tanzania leo baada ya Mfalme wa show za mchana Mtangazaji...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Natokea kumkubali sana huyu dada, ni mcheshi halafu ni anapenda comedy fulani. Kwakweli huwa nampenda na nahisi li moyo limemudondokea. Je, kaolewa?
11 Reactions
32 Replies
6K Views
tia saini hati ya talaka umpe uhuru mkeo amechoka na umalaya wako, mkia wako unachovya kila shimo atakuvumiliaje?
15 Reactions
103 Replies
9K Views
Habari za weekend wadau wa burudani.?. Katika anga ya muziki hasa wa hapa nchini kwetu ukizungumzia bongo fleva, hip hop na miondoko miongine mbalimbali kumekuwa na wasanii amabo mara nyingi...
0 Reactions
0 Replies
449 Views
Matajiri wawili Duniani, Bwana Elon Musk na Mark Zuckerberg wamekubali kuzichapa kavu kavu kwenye ulingo uliofungwa, caged match siku zijazo mjini Nevada. Binafsi natabiri Elon Musk kumfumua Mark...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Hebu tuongee kidogo ndugu zangu wa Hip Hop hasa wale Old is gold. Na wengine. Hivi mwaka 2005 wakati A.k.a Mimi Album ya Albert Mangwair ikichukua Album bora, Ilishindana na Album zipi? Rest...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom