Desiigner anatumikia kifungo cha nje cha miaka 2 kwa kujichua ndani ya ndege

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,850
Screenshot 2023-09-18 150840.png


Rapa na muimbaji wa Marekani Desiigner yupo kwenye kifungo cha nje na uangalizi kwa miaka miwili, kufanya kazi za kijamii na kulipa faini ya Tsh Milioni 12,525,000 kwa kosa la kujichua 'Masturbation' ndani ya ndege.

Hitmaker huyo wa ngoma ya Panda ameamriwa na Mahakama ya Wilaya ya Minneapolis Marekani kama mkosaji wa ngono kwa kitendo hicho alichofanya mwezi April.

Pia katika kifungo hicho anatakiwa kupimwa afya yake ya akili, atachunguzwa kuhusu utumiaji wa madawa ya kulevya na kupigwa marufuku kumiliki silaha yoyote.

Source:;


#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha #Desiigner
 
Kwa wasio mfahamu huyu ndiyo mwanzilishi wa chama kikongwe cha CHAPUTA. Na hapo alikuwa anafanya kwa mtindo huru (Free Style) ndiyo maana akadakwa.
Dronedrake alimpa cheo Cha ukatibu mwenezi Kanda ya ngozi nyeupe Ila kule wanaelewa ushoga zaidi
 
Back
Top Bottom