Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kalapina, Huyu jamaa mbali na kuwa na harakati nyingi akiwa pamoja na kundi lake la Kikosi cha mizinga .ukweli ni kwamba hana kipaji cha music. Alipata umaarufu coz ametoka kipindi wasanii ni...
64 Reactions
932 Replies
52K Views
Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza dada Lamata kwa ubunifu na uchapakazi katika tasnia ya filamu (tamthiliya) Nikiri huwa naifuatilia tamthiliya ya Juakali. Ilianza vyema ila huku mbeleni...
13 Reactions
44 Replies
1K Views
Maimartha na Bwana Wake Puff Daddy ni matepeli wakubwa. nyepesi nyepesi zilizonifikia ni kwamba Bwana yake Maimartha alikopa pesa kwa shangazi yake (10,000,000) ili kuendesha Tamasha la Kimwana wa...
1 Reactions
63 Replies
14K Views
Kuna habari kwamba wakazi kadhaa wa jijini wana mpango wa kumtumia mtu aliye karibu nae ili amsaidie mama huyu. Yasemekana wanawekwa foleni kubwa kwenye magari ili tu yeye apite aende salon mara...
0 Reactions
53 Replies
13K Views
Tangu nimeanza kumsikia juma nature enzi hizo alikua mbaba eti mpaka Leo bado yupo vilevile
10 Reactions
46 Replies
2K Views
Wadau habari zenu? Hili suala la diamond platnumz kuhusishwa na kupoka nyota za wasanii wenzake, hasa wale wanaofanya vizuri kwa kipindi fulani, limeshika kasi sasa. Hivi karibuni kumekuwa na...
1 Reactions
33 Replies
1K Views
Mbona kama nuru imepotea ghafla kwa Idris Sultan, Nini kimemsibu star huyu?
12 Reactions
265 Replies
12K Views
Huyu jamaa Leo kaenda clouds fm kipindi cha LEO TENA na wake zake wawili, wa pili na wa tatu. Wa kwanza hakuwepo. Wameongea mengi kuwa wake zake wanapendana. Ila kaulizwa swali na Geah Kuhusu...
19 Reactions
185 Replies
30K Views
Habari zenu wadau wa jukwaa hili. I hope mko njema kabisa hapo. Mimi ni mmoja kati ya raia ambao nafuatilia sana aina mbalimbali za muziki duniani. Nafuatilia Bongo Fleva, Hiphop, Afro Beat...
20 Reactions
133 Replies
31K Views
Private jet ya Msanii na Mfanyabiashara maarufu duniani, Juma Jux inatarajiwa kuwasili Jumanne saa 7 mchana katika Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Wote mnaalikwa kwenye...
13 Reactions
65 Replies
5K Views
Jana kulikuwa na bonge moja la shoo kutoka kwa Kaka mkubwa @professorjaytz kwa namna moja ama nyingine watu walifurahi kile alichokifanya jukwaani. Pembeni yake alikuwepo @nikkimbishi999 majina...
7 Reactions
23 Replies
748 Views
Mwimbaji na YouTuber wa Rwanda Aimable Karasira amefariki dunia wakati akiachiwa huru kutoka kizuizini mjini Kigali, Huduma ya Magereza ya Rwanda (RCS) imethibitisha. Katika taarifa yake, RCS...
2 Reactions
9 Replies
503 Views
Kati ya matukio ya kisanii ya Bwana Misosi ambayo hatakuja kusahau, akiwa bado mchanga kisanii na ndio ametoa hit song yake ya kwanza "Nitoke Vipi." Ni love aliyoonyeshwa na wasanii wakubwa wa...
16 Reactions
84 Replies
2K Views
Ukitaka kuona ukubwa wa Mzee Yusuph kasikilize kipande cha wimbo wa times fm(Juma dede) kilichoimbwa na Mzee Yusuph. Huu wimbo ulikuwa mahsusi kwenye sherehe za times fm hivyo wasanii wa taarabu...
5 Reactions
35 Replies
806 Views
Nimeangalia interview ya Mex Cortez kwa Rick Media na kwa kweli ni best interview wasanii wajifunze Kuna utofauti mkubwa ukilinganisha na interview nyingi za kawaida. Mazungumzo yameonekana...
2 Reactions
11 Replies
373 Views
Dada/mama huyu amekuwa maarufu Sana kwenye mitandao ya kijamii Kama mfanyabiashara maarufu wa chakula na vinywaji, pia vipodozi. Wakati fulani alimkodishia Diamond Platnamz ghorofa lake zuri sana...
25 Reactions
888 Replies
155K Views
Wanabodi, Tunaposherehekea siku ya wanawake duniani ambayo ndio leo, sio vibaya tukiwakumbuka na Tanzanians Top Women Celebrities ambao kwa namna moja au nyingine, wameling'arisha jina la...
0 Reactions
50 Replies
8K Views
Nikki Zohan, Baba Malcom, Unju Bin Unuk, naweza kusema ni miongoni mwa marapa zangu bora wa wakati wote. Kuanzia Lyrical ability, Theme, Cohesiveness, Frestyle, Punchline, Skill, Performance...
4 Reactions
54 Replies
2K Views
Nikki wa pili ndio msanii na celebrity bora kabisa kwa kizazi hiki hapa Tanzania kwa muda wa miaka 30 iliyopita 1990-2021 Kuna sababu zinazofanya awe Bora kuliko wote na zipo wazi. Nikki amekuwa...
3 Reactions
72 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…