Hivi huyu jamaa ana dawa gani? Sidhani kama kuna msanii wa Kikorea anapendwa kama huyu jamaa
Muigizaji Lee Min-ho ameshika namba 1 tena
Kwa mujibu wa matokeo ya ‘Utafiti wa Hallyu (Wimbi la...
Rapa wa Marekani Offset ameripotiwa kupigwa risasi karibu na casino maarufu ya Seminole Hard Rock Hotel & Casino huko Hollywood, Florida.
Mtu wa karibu na rapa huyo amethibitisha kuwa Offset kwa...
Huyu dada Marilyn Monroe alikuwa na nguvu isiyo ya kawaida. John F. Kennedy akiwa Rais wa Marekani huku mdogo wake Robert F. Kennedy akiwa mwanasheria mkuu wa serikali walijikuta wote wakiangukia...
Rapa wa kike nchini mwenye muonekano wa kiume Chemical akiongea na Times Fm amekiri kuwa ana mimba ya miezi saba ya mwanaume ambaye sio wa Dar ndio maana amekuwa kimya kimuziki na pia hapost picha...
Wakuu,
Mwimbaji mashuhuri wa Kongo, Koffi Olomide, ameamua rasmi maisha ya ndoa baada ya kuoa mpenzi wake wa muda mrefu, pia mwimbaji, Cindy Le Coeur. Wapendanao hao, ambao walikuwa wakipendana...
Kwa Kasi ya nyimbo nzuri zinazotolewa kwa sasa na wasanii wa Bongo Flavour kama vile Ali Kiba, Marioo, Mboso Khan, Harmonize na hivi karibuni Kuna lijisongi lingine kubwa kuliko litatolewa na...
Kwa wale wasiomjua SirJeff Dennis, basi huyu ndiye mmoja wa waasisi wakuu waliowahamasisha Watanzania wengi kufuatilia biashara ya forex na mifumo ya online forex. Hii si kusema hawakuwepo wengine...
“Baada ya Kifo cha Nilsa: Wazazi Watofautiana Kwa Pesa za Michango!” 🤔💔
Inadaiwa kuwa kwa sasa kuna sintofahamu kubwa kati ya Baba na Mama wa marehemu Nilsa, kufuatia tuhuma nzito za matumizi...
S.O.G - "ALFAJIRI"
" SNARE, BUFF G & AY "
Intro:
"Ooh Mapema Mno.!!
Tena Sana
Sasa Tazama.."
Verse.1 " Snare"
Yo!!
Bado Alfajiri Sasa Data na Zangu Tafsiri/
Adam Ndani Ya Game Me...
Salaam ndugu zangu,
Mnamkumbuka msanii mkali wa RnB miaka ya 2000 ya mwanzoni Joslin. Msanii huyu alitamba na vibao mbalimbali ikiwamo Niite basi, Wanazimika na yangu Perfume nk. Alikuwa miongoni...
Huyu jamaa mistari yake hapana
Utasikia
1) Wanataka nife Ili Aishi manula
2)Vyombo vya habari vinaoshwa kwenye besen
3) Hata wachawi wanajua mchawi pesa
4)Dirisha la usajili wameweka...
Mwenye kujua namna mirathi ya celebrity Marehemu William Malecela a.k.a Le Mutuz ilivyogawanywa atujuze. Nyumba (2), apartments (3), akaunti benk, online TV na Magari
Soma Pia: Le Mutuz TV...
Katika historia ya muziki wa Bongo Flava na Afrika Mashariki kwa ujumla, jina la Vanessa Mdee linabaki kuwa alama ya mafanikio, ubunifu, na ushawishi mkubwa.
Vanessa allijijengea himaya yake si tu...
Rais wa shirikisho la muziki nchini Addo November ametoa taarifa fupi kuhusiana na kifo cha Mwanamuziki wa Injili Irene Robert, kuwa alikutwa katika chumba cha Hotel, akiwa mtupu huku akiwa...
Mtunzi wa muziki aliyeshinda tuzo ya Grammy, Lebo M, amemfungulia kesi mchekeshaji Learnmore Jonasi akidai dola milioni 27, akisema kuwa alimtafsiri vibaya wimbo wa Circle of Life kwa kusema...
Hivi Wastara yupo desperate kiasi hicho mpaka atembee na dudubaya ?
Kama ni kweli wastara amekubali kudate na dudubaya na ikiwezekana waitane mke na mume, basi naweza kusema couple yao ndio...
Bilionea Leonid Radvinsky, Mmarekani mwenye asili ya Kiyahudi aliyezaliwa Ukraine mmiliki wa mtandao wa OnlyFans (aliyezaliwa 1982), amekufa kwa saratani akiwa na umri wa miaka 43 mnamo Machi 20...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.