Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Huu ni mtazamo wa nguli na gwiji wa entertainment industry hapa bongo Salama Jabir. Na mimi namuunga mkono toka day one uwa nasema hii kitu nikaishia kupewa majina mabaya na wenye wivu, chuki...
8 Reactions
125 Replies
10K Views
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Omary Mwanga, maarufu Marioo, anayedaiwa zaidi ya Sh. milioni 500 kwa kuvunja mkataba, anatarajiwa kujitetea Mahakama Kuu Machi 18 na 19, mwaka huu. Marioo na...
6 Reactions
54 Replies
5K Views
Hello, Hi Ngoma Jay Moe kashirikishwa na Country Wizzy, Techniques kafanya balaa sana flows za hatari plus maandishi ya ki father sana hili ni bonge la ngoma..
2 Reactions
10 Replies
864 Views
Habari, Kila Mmoja Anaendelea Vyema Kabisa Na Majukumu Ya Kila Siku. Dizasta Vina Hadi Sasa Ndio Rapper Mkali Sana Katika Utunzi Na Uaandishi Wa Mashairi Hapa Tanzania. Sijaona Rapper Mkali Zaidi...
8 Reactions
47 Replies
3K Views
Mimi msanii wa kiume anayevaa hereni, aliyeweka kipini puani na mwenye tabia ambazo hakupaswa kuwa nazo mwanaume huyo siwezi kutazama video yake, siwezi hata kusikiliza nyimbo zake. Nahisi uchafu...
1 Reactions
10 Replies
727 Views
John Cena went live on stage at the Oscars naked. This is symbolism at it's peak, the emasculation of men. They take masculine figures in society and humiliate them, from wearing dress to walking...
4 Reactions
3 Replies
891 Views
Nasikia huyu jamaa kafungua baa mjini Dar, ambayo ina vinywaji vya hatari, anayeijua aniarifu inaitwaje na ipo mtaa gani
4 Reactions
86 Replies
6K Views
ILE mimba ya miezi mitano aliyokuwa nayo staa wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ imechoropoka kufuatia kipigo alichopewa na mpenzi wake. Lulu Mathias Semagongo...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Chawa maarufu na mtangazaji wa CloudsFm Mwijaku, amesema kama ikitokea akatangulia kufa basi mwili wake usizikwe mpaka Rais Samia afike kumzika. Mwijaku ameandika wosia wake kwenye ukurasa wake...
4 Reactions
53 Replies
4K Views
Binafsi kuna collab natamani zingetokea sio kwa bongo tu mpaka mbele, kwa mfano; 1. Jay Melody ft Mbosso 2 Diamond Platinumz ft Yemi Alade(najua wamewahi fanya ila ilikuwa ni zamani wakati mond...
0 Reactions
0 Replies
530 Views
Mwanamuziki wa Afrobeats wa Nigeria, Davido ametangaza kuwa atatoa Naira 300m ($197,000) kwa vituo vya Watoto yatima nchini mwake. "Mimi na taasisi yangu tunaahidi jumla ya Naira Milioni 300 kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya Msanii Zuchu kuandika ujumbe wa kutengana kimapenzi na msanii Diamond platnumz, anaejiita mtoto wao Baba Levo amesema atahakikisha ugomvi wao unaisha. Ameandika Baba Levo kwenye ukurasa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Msanii Anjella amemvulia uvivu boss wake wa zamani Harmonize baada ya kusema kuwa aliwabariki kiroho safi kwenda kutafuta Rizki sehemu nyingine. Kupitia ukurasa wake wa Instagram (Instastory)...
1 Reactions
7 Replies
749 Views
PATRIZIA GUCCI Baada ya kuwa maurizio gucci ameuwawa kwa kupigwa risasi polisi walihangaika kwa kuonganisha doti kwa kipindi cha miaka mitatu. Hadi hapo walipoamua kuja na idea moja nzuri kwa...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa usanii tu hata kutembelea mikoa minne ni mtihani sana. Hata Hana hit song tusema anakwenda kufanya show mbele, yuko katika ofisi moja wa tajri akijifanya mtaalamu wa graphics na marketing...
16 Reactions
251 Replies
14K Views
Not naongelea bongo fleva upande wa kuimba Hizi ndio album bora 25 za miaka 23 1.Tid-sauti ya dhahabu-2001 2.Alikiba-cinderella-2007 3. Lady jay dee - Binti 2003 4. Bushoke -Barua 2004 5.Mb...
15 Reactions
37 Replies
6K Views
Wazee wa kazi au kule Nigeria tunawaita Yahoo Boys wame-hack account ya Soudybrown, mtangazaji wa kamapuni ya utangazaji ya Clouds Media Group, na Chaumbea namba mmoja nchini TANZANIA. Hata...
9 Reactions
29 Replies
4K Views
Mtoto wa billionea Mukesh Ambani anatarajiwa kufunga ndoa siku chache zijazo, ndoa ambayo itatanguliwa na party ya siku 3 mfululizo. Watu wa karibu, wadau, Celebrities na CEO wanategemewa...
18 Reactions
73 Replies
6K Views
Back
Top Bottom