Queen Darleen katupwa au?

Full charge

JF-Expert Member
Mar 1, 2018
1,550
1,422
Habari zenu wapenzi na wafuatilia muziki wa Tanzania na mashabiki kwa ujumla.

Hivi lebo ya WCB mbona kama imemtelekeza msanii wake (Queen darleen)? Awali alikuwa akifanya nao kazi na bila shaka alikuwa na mkataba hai tukiachana na suala la kuwa ndungu wa Nassibu Abduli Nyange.

Je sababu ya kuolewa laweza kuwa chanzo? Au lipo jambo linaendelea nyuma ya pazia? Nauliza si kwa ubaya bali ni kutaka kujua ukizingatia ni mtu maarufu na sisi ni mashabiki wake. 🙏

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom