Lil Wayne got treated like shit at the Lakers game

2 of Amerikaz most wanted

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
1,328
3,692
_20240301_173709.JPG


Wayne is a loyal Lakers fan, a superstar went a little overboard with his comment on ANTHONY DAVIS last season.

A head of the 2023 postseason, Antony Davis had a tough time recovering from foot injury. He missed the majority of the games in that season.

Wayne dropped a harsh statement on AD he said ; "if the Lakers want to be a championship in the future as well, you gotta get rid of Davis".

However, the rapper’s words didn’t age well, as AD played a crucial role in the Lakers’ playoff run till the Conference Finals, averaging 22 points with 14 rebounds.
 
Hii kidogo nime ielewa, Wayne ali toa maoni kuhusu Anthony Davis aliye kwenye majeruhi.

Kuwa ili Lakers wawe Wana shinda, basi wamu ondoe kwenye timu.

Na Wayne ana sema hiki kitu ali kiona kikija, binafsi naona wote jau tu, coz maoni sio sumu.

Na Wayne kazingua coz Davis ni nguzo muhinu kwenye timu
 
Truth to be told, AD had a rough season due to the fact most of the times he was out due to injuries but alipiga comeback ya maana sana. Anyways NBA saa hizi ina raha watu kama kina Luka Doncic, wananipa Raha sana. Ila dogo wemby naye urefu unamsaidia design kama Hana balance hivi sijui mzito. Ila Ile game alimpiga bonge la block the greek freak ( atentokounmpo) nilicheka sana!
 
Bahati yao tu bila Covid wasingekuwa na hiyo ring wanajivunia recently
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom