Dada aliyesababisha Jay Z kupewa kichapo na Solange ajitokeza

mxyo16

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
1,243
758
Beyonce ka release album mpya, katika nyimbo zake kaongelea kuhusu cheating partner, kuna mstari kasema eti kisingizio dada ana "good hair", Anaehusika kajistukia kaanza ku tweet na sasa anakiona cha mtemakuni from team Beyonce.

337EE33800000578-3556292-image-a-2_1461511074512.jpg

337EE34400000578-3556292-image-a-1_1461511060908.jpg

Huyu ni ex wife wa Damon Dash....jay kafanya nao kazi muda mrefu....it seems alipitia*

Backlash!
337EE36C00000578-3556292-image-a-40_1461514523683.jpg

338070DC00000578-3556292-image-a-52_1461524494526.jpg

337EE37600000578-3556292-image-a-26_1461511952305.jpg

Solance baada ya kutoa kichapo

337EE38100000578-3556292-image-m-25_1461511943852.jpg

jay baada ya kupokea kichapo
 
Aisee ngoja n mie nikampe matusi ya kiswahili huyu alifanya jay z n beyonce waachane mwaka mzima
 
Nimeona hiyo video clip ya Lemonade ya Beyonce, Ni pure diss kwa Jay Z. Mi huwa siamini haya mambo lakini sass mama naanza kuamini yule mjomba anapiga mechi za ugenini. Duh, wanaume haturidhiki yaani Alivyo Bey vile. Bado unatafuta mchepuko!
 
Mimi hapo tu ndio huwa nachoka!
Hili sakata la Jay na Bey limenijenga sana kifikra.
Usiulize kuvipi.
 
Some highlights and best moments from Beyonce's new visual album Lemonade! You gotta love some Beyoncé. She talks about Jay Z, Black Lives Matter and more in Lemonade!

kwani hayo matukio yote ya hiyo album yalitokea mwaka gn, mana sijaskia hawa wawili wameachana kwa sasa, nifahamishwe tafadhari
 
Hii habari imeandikwa kinafki sana. Jay-Z hakupokea "kichapo", bali alifanyiwa fujo na akai-handle situation like a true man.

Jay can wife any chick, and make her a queen. Bey can't even find a Jay's match, let alone an upgrade. She knows, hence she sticks around.
 
I agree hapo sio kichapo ni jay z kaihandle situation kiustaarabu zaidi lakini duh inaonekana humpendi queen b,so you think she is there on top just because of jay?mi naona she choose to stick around kwasababu anampenda nothing more.....
 
Not really, simchukii Bey. And yes, she's on top cuz she's married to a rap god. Attitude ya Bey wakati Shaolinge anamshambulia Jay, haionyeshi kumpenda mshkaji kabisa.

Bey anabaki cuz anaogopa kuondoka. She's so insecure.
 
hapana si kweli...kwanza mi sijui hata album ya mwisho ya jay but I can tell you bey hata wakiachana leo hawezi kuchuja,wadada wengi ndio role model wao huyo na wanawake ni wengi...
usitafsiri hio video ukamake conclusion kuwa hampendi bana...
siamini kama bey ni insecure...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom