Nimeenda YouTube. Jay Moe nimemwelewa, ila yule wa mwanzo kanikata stimu, kurap kama Young ThugNimejaribu kuipandisha imegoma search hata google mkuu ngoma inaitwa way back country Wizzy ft Jay Moe.
Jay Moe kabeba wimbo kafanya poa sana..Nimeenda YouTube. Jay Moe nimemwelewa, ila yule wa mwanzo kanikata stimu, kurap kama Young Thug
Noma sana sengiHello,
Hi Ngoma Jay Moe kashirikishwa na Country Wizzy, Techniques kafanya balaa sana flows za hatari plus maandishi ya ki father sana hili ni bonge la ngoma..