Dizasta Vina Mwana Hip-hop Ndio Best Story Teller Hana Mpinzani

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
44,584
188,802
Habari,
Kila Mmoja Anaendelea Vyema Kabisa Na Majukumu Ya Kila Siku.

Dizasta Vina Hadi Sasa Ndio Rapper Mkali Sana Katika Utunzi Na Uaandishi Wa Mashairi Hapa Tanzania. Sijaona Rapper Mkali Zaidi Ya Dizasta Vina Hata Katika Upande Wa Namna Anavyochana.

Ukimsikiliza Dizasta Vina Utaona Kabisa Uandishi Wake Ni Mtu Mwenye Uwezo Mkubwa Sana Na Ubunifu Wa Hali Ya Juu Sana.

Turudi Kwenye Mada Ya Kwanini Nasema Ni Best Story Teller Kupitia Mashairi Anayoimba. Ukisikia Nyimbo Zake Anavyopangilia Matukio Na Uandishi Wa Vina Unabaki Pale Pale Katika Ubora Na Ustadi Wa Juu.

Kuna Watu Wanaweza Kuwa Hawamfahamu Dizasta Vina Nitawawekea Baadhi Ya Ngoma Hapa Chache Mkasilize Baadae Mlete Mrejesho Juu Ya Utunzi Na Uandishi Wa Msanii Huyu.

Kuna Muendelezo Wa Project Yake Inayoitwa HATIA Ambayo Hutoa Kila Maana Ya Mwaka Au Miaka. Hapa Alianza Kwa Kutoa Nyimbo Nyingi Ila Kuna Hatia I, Hatia II, Hatia III, Hatia IV Na Hatia V.

Kuna Hatia III Hii Ngoma Nilimkubali Sana Hapa Anazungumzia Namna Tulivyosahau Tamaduni Zetu Za Asili Na Kukimbilia Za Ughaibuni Na Namna Tunavyoathirika Navyo Katika Nyanja Zote Kijamii, Kiuchumi Na Kisiasa.

Kumi Zangu Bora Za Dizasta Vina Ni Hizi Hapa:

1. Dizasta Vina - Hatia III
2. Dizasta Vina - Hatia V
3. Dizasta Vina - Hatia IV
4. Dizasta Vina - Kanisa
5. Dizasta Vina - Kibabu Na Binti
6. Dizasta Vina - Wimbo Usio Bora
7. Dizasta Vina - Hatia II
8. Dizasta Vina - Shahidi
9. Dizasta Vina - Hatia I
10. Dizasta Vina - Tribulation (Dis Track Kwa Rapcha)

Kama Hujawahi Msikiliza Dizasta Vina Basi Pitia Hizo Ngoma Uje Kuleta Mrejesho Ila Jamaa Hadi Sasa Hana Mpinzani Katika Uandishi.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu
 
No hate, ila juma nature ni fundi zaidi ya vina.
Juma nature ni living legend ila katika story telling ni makosa na kumshushia heshima Dizasta kumfananisha na Sir Nature.

Walau ungemtaja Prof jizze at least tungeona upo karibu na uhalisia.

Kwa sasa Dizasta ndio the best kwenye Story telling.

Baada ya hapo naweza kusema P Mawenge anafuatia
 
Juma nature mi living legend ila katika story telling ni makosa na kumshushia heshima Dizasta kumfananisha na Sir Nature.

Walau ungemtaja Prof jizze at least tungeona upo karibu na uhalisia.

Kwa sasa Dizasta ndio the best kwenye Story telling.

Baada ya hapo naweza kusema P Mawenge anafuatia
Prof Jay nae ni mtata, ni kweli kwa Sasa vina ana kimbiza.
.ile wachezaji wa timu ni 🔥🔥🔥
 
Habari,
Kila Mmoja Anaendelea Vyema Kabisa Na Majukumu Ya Kila Siku.

Dizasta Vina Hadi Sasa Ndio Rapper Mkali Sana Katika Utunzi Na Uaandishi Wa Mashairi Hapa Tanzania. Sijaona Rapper Mkali Zaidi Ya Dizasta Vina Hata Katika Upande Wa Namna Anavyochana.

Ukimsikiliza Dizasta Vina Utaona Kabisa Uandishi Wake Ni Mtu Mwenye Uwezo Mkubwa Sana Na Ubunifu Wa Hali Ya Juu Sana.

Turudi Kwenye Mada Ya Kwanini Nasema Ni Best Story Teller Kupitia Mashairi Anayoimba. Ukisikia Nyimbo Zake Anavyopangilia Matukio Na Uandishi Wa Vina Unabaki Pale Pale Katika Ubora Na Ustadi Wa Juu.

Kuna Watu Wanaweza Kuwa Hawamfahamu Dizasta Vina Nitawawekea Baadhi Ya Ngoma Hapa Chache Mkasilize Baadae Mlete Mrejesho Juu Ya Utunzi Na Uandishi Wa Msanii Huyu.

Kuna Muendelezo Wa Project Yake Inayoitwa HATIA Ambayo Hutoa Kila Maana Ya Mwaka Au Miaka. Hapa Alianza Kwa Kutoa Nyimbo Nyingi Ila Kuna Hatia I, Hatia II, Hatia III, Hatia IV Na Hatia V.

Kuna Hatia III Hii Ngoma Nilimkubali Sana Hapa Anazungumzia Namna Tulivyosahau Tamaduni Zetu Za Asili Na Kukimbilia Za Ughaibuni Na Namna Tunavyoathirika Navyo Katika Nyanja Zote Kijamii, Kiuchumi Na Kisiasa.

Kumi Zangu Bora Za Dizasta Vina Ni Hizi Hapa:

1. Dizasta Vina - Hatia III
2. Dizasta Vina - Hatia V
3. Dizasta Vina - Hatia IV
4. Dizasta Vina - Kanisa
5. Dizasta Vina - Kibabu Na Binti
6. Dizasta Vina - Wimbo Usio Bora
7. Dizasta Vina - Hatia II
8. Dizasta Vina - Shahidi
9. Dizasta Vina - Hatia I
10. Dizasta Vina - Tribulation (Dis Track Kwa Rapcha)

Kama Hujawahi Msikiliza Dizasta Vina Basi Pitia Hizo Ngoma Uje Kuleta Mrejesho Ila Jamaa Hadi Sasa Hana Mpinzani Katika Uandishi.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu
Katika hiyo list ongezea na

1. Fallen Angel
2. Mlemavu
3. Siku mbaya
4. Nobody is safe (zote)
5. Kanisa

Jamaa haboi
 
Niongezee na Young Lunya, Rapcha
We lunya huyu🤓🤣.

Hapo unaweza fikiri mwanetu ana spit bars yani. Vitu utaskia;

'Mama nipe nchuku nchuku'
FB_IMG_17093694278849606.jpg
FB_IMG_17093694342786619.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom