Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Siku nyingine Kikwete usiwe mbishi KWA mara nyingine tena taifa lilipatwa na mshtuko wakati Rais Jakaya Kikwete alipolazimika kuondolewa katikati ya sherehe katika Uwanja wa CCM Kirumba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JF niliangalia miss kenya na kwa aliyebahatika kuiona lol wenzetu kidogo naona wame advance na mabinti wanaconfidance sijawahi kuona watoto wanajieleza kama hawana akili nzuri mengineyo yalikuwa...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Masupa Staa wajao wa Bongo Thursday, October 08, 2009 9:29 PM Mshindi wa shindano la kumtafuta nyota mpya wa Bongo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ezra linked to a debt By Vision Reporter KENYA police yesterday questioned Michael Ezra for hours over allegedly issuing a cheque that was dishonoured . Sources in Nairobi said Ezra was...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Umewadia wakati mwingine tena wa mpambano wa kumsaka mrembo atakayeipeperusha bendera ya nchi katika mashindano ya 60 ya dunia (Miss World) yanayotarajiwa kufanyika huko Afrika Kusini 12 Desemba...
0 Reactions
135 Replies
34K Views
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa TFF(FAT wakati huo) Alhaj Ismail Aden Rage ametapeli kiasi kikubwa cha fedha katika onyesho maalumu la kikundi cha wachekeshaji Ze comed. Bwana rage ambaye pia ni...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Bingwa wa dunia wa ndondi mkanda unaomilikiwa na IBC, Francis Cheka wa Morogoro (Kushoto) akimtwisha konde mpinzani wake Japhet Kaseba kwenye pambano la raundi 12 kuwania mkanda huo kwenye uwanja...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
style anayoitumia mpoki wa origino komedi, ile ya kujifanya iko na hela nyingi na kutajataja watu majina inanikera sana na naona kama inapunguza radha ya kipindi na kutudhalilisha sisi wahaya au...
0 Reactions
64 Replies
17K Views
Hi wakubwa, ni wapi naweza pata CD za Innocent Galinoma? Nimejaribu kuzitafuta online bila mafanikio. Ningeurahi sana kupata CD za Mfwalingundi hasahasa ile ya awali Kilimanjaro. I look forward...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mara zote huwa anarudi Tanzania na kuitangaza Tanzania hivyo kuna Haja ya wizara ya Elimu kuweka watu kama hawa kuanza kutumikia Taifa letu na kutoa michango yao ya moja kwa moja Katika Tanzania...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Shadrack Sagati Daily News; Saturday,May 31, 2008 @00:05 Kundi la vichekesho la Ze Comedy limetangaza kuhamishia maonyesho yake katika runinga ya Taifa ya TBC1 kuanzia Julai. Wachekeshaji hao...
0 Reactions
318 Replies
46K Views
Siku ya kuzaliwa kwangu ni tarehe 27 September. Nilizaliwa miaka mingi ilyopita wakati nchi ikiwa ya kijani sana. Sasa hivi naona uchungu kuwa nchi yote ni ya kahawia. Hebu nipe salamu za happy...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Ikiwa leo ni tarehe 24 September unapokumbuka siku yako ya kuzaliwa, napenda kukutakia maisha mema na yenye mafanikio. Tumetoka mbali pamoja kama mdau wa JF na tumekuwa pamoja katika mijadala...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Kutoka Paris,Ufaransa Rais wa zamani wa Ufaransa Valery Giscard d'Estaing (83),ameandika kitabu cha riwaya chenye hisia za kuwepo uhusiano wa kimapenzi kati yake na marehemu Princess Diana...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Yesterday, 09:41 am The world's oldest man has celebrated his 113th birthday - revealing he takes one aspirin a day to stay healthy. Enlarge photo Walter Breuning celebrated his milestone...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
(CNN) -- Tyra Banks has gone from supermodel to super businesswoman. Tyra Banks shows off her real hair during an appearance on "Larry King Live," set to air Tuesday night. With her...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ujumbe kutoka kwa Michuzi. Analalama kuwa kuna watu ni kigeugeu cha kutupwa. Mashaka mwamshambulia kuwa anajifanya Koungea English tu na Kanumba sasa anachekwa kuwa hafahamu Kiingereza. Nyani...
0 Reactions
38 Replies
11K Views
Wadau, jana hawa jamaa wa Ze comedi wameendeleza uhasama dhidi ya wasanii wenzao wa kutengeneza filamu baada ya kuponda kikao cha wasanii hao kilichofanyika juzi n huku wakijigamba kuwa wao...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Sijui kama nimeandika jial hilo inavyopaswa, basi tuseme tu kuwa linafanana na jina la mtu anyeitwa John Guninita. Habari njema ni kwamba Ameamua kuanza masomo ya secondary. Wengi wamempongeza kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwanamuziki wa Marekani, Rihanna aliyetamba sana na wimbo wake "Umbrella" ameripotiwa kuwa ana hasira na amehuzunishwa sana na uamuzi wa mahakama kumuamuru mpenzi wake wa zamani Chris Brown akae...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom