Tid ajitoa tuzo za kili music awards 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tid ajitoa tuzo za kili music awards 2010

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Lucchese DeCavalcante, Mar 31, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  DSC_8987.JPG

  Naomba radhi kwa mashabiki wangu wote kutoka pande zote za sayari hii najua mlikua mnasubiria kunipigia kura kwenye hiki kinyanganyiro cha award hizi za kilimanjaro,najua imekua uamuzi muafaka kwangu kujitoa kwene awards hizi basi naomba muelewe sababu zangu hizi za msingi:

  1.Kwanza nahisi mimi kama TID na mziki ninao perfom kwa kipindi chote hiki cha miaka saba toka nimepewa tunzo hizi sina umuhimu wa kuwa shiriki sababu hata nikitengeza wimbo ambao unakubalika sana na wapenzi wa muziki huu wa kizazi kipya sipewi tuzo kwa mantiki hiyo naona sioni sababu ya kuwa kwenye tuzo hizi.

  2.Pia nilidhani labda ni upungufu wa mawazo ya majaji ama waandaaji ambao imewezekana nilitofautiana nao kipindi fulani nilipokuwa nafanya nao kazi za maonesho,inauma sana unapoona wengine ambao uko nao kwenye same field wanapewa nafasi kubwa ambayo pia mimi nastahili kutokana na juhudi ambazo nafanya kwenye sanaa hii ya kizazi kipya hapa nahisi sihitajiki kwani kama wimbo wangu wa bendi ni bora wa mwaka kwanini nisiwe mwanamuziki bora wa kiume mwaka huo,pia hata video zangu huwa za viwango vya juu nazo hazipewi nafasi kwenye video bora za mwaka!

  3.Kwa sababu hizi ambazo mimi naona kwangu hazinijengi sioni sababu ya kuwepo kwenye TUZO hizi tena kwani sidhani kama ni wakati wa kuwaangusha mashabiki wangu ambao natumia muda mwingi na effort binafsi bila ya mdhamini kuwaunganisha na muziki wangu basi nisameheni kama nimewakosea lakini hainisaidii chochote endeleeni na hao mnaowapa kila category i will never stop making good music for my country surely i wont,i was born to do THIS,.. THANK habari kutoka topbandtz.blogspot.com

  Kwa mwaka huu msanii huyo kupitia Top Band na wimbo wa ASHA alikuwa akichuana kunako tunzo ya Wimbo Bora wa Kiswahili kwa upande wa bendi, ambapo Machozi Band (Nilizama), African Stars Band-Twanga Pepeta (Mwana Dar es Salaam), FM Academia (Vuta Nikuvute) Extra Bongo (Mjini Mipango) zikiwa kwenye category moja.

  Yale yale ya MWanaFA, TID fanya kazi acha kususa mwana
   
 2. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  No comment!!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  hasira hasara!
   
 4. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Si urongo Machozi na JD kila kona sababu Clouds toka asubuhi mpaka asubuhi wanapiga nyimbo zake
   
 5. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sizitaki mbichi hizi... TID, amka! kuna wakali zaidi yako ndio maana hupati tuzo, get down from that high horse of yours(sijui ni unicorn?!)
   
 6. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,390
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Sasa nyie mnamuweka kategory moja na wazee wa kisigino alafu mnadhani ataacha kutoka mdima(kukimbia),huko kujitoa kwake ndio nafuu yake,laa sivyo,angekiona cha moto!!
   
 7. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Haya uamuzi ni wako TID
   
 8. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Pole sana TID... Clouds Entertaiments wamempiga chini... Sijawahi kusikia wimbo wa Asha popote...
   
 9. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  If you sense defeat tia mpira kwapani
   
 10. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #10
  Mar 31, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ifikie mahala kwa wanamuziki wa bongo nao wachaguliwe kwa kupitia wingi wa mauzo ya rekodi zao na si kupigiwa kura.
   
 11. n

  nndondo JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  nakuunga mkono TID hakuna sababu haya mashindano hayako kwa faida ya wasanii cha kujiuliza ni kwamba hata wao wanaowapendelea wakiwa wabovu wanafika wapi? ni sawa na Professor J wewe unaweza kulinganisha nyimbo zake na hizo takataka za watoto hao waliojaa maziwa ya mama zao, ni upuuzi ndio maana watanzania hatuendelei waache tu hao Kilimanjaro waishie ten percent za kuandaa hizo award sijui labda kama kubadilisha meneja kutasaidia wewe angalia wimbo wa nzela wa banana zoro mafunzo kibao kwa vijana maudhui tele atakosaje tuzo? nakubaliana wanaokukashifu hawajui fani usiwasikilize, ukishakua profession huendi kuuza sura unalipwa hata ku appear kwenye shoo. Cha kushangaza mbona hao wanaopata hatujawaona hata kwenye michujo ya mashindano ya maana? Achana nao jua lako songa mbele mwana falsafa si huyo yuko mbali kabisa kwanza hata hao majaji wamepitwa na wakati na kukuthibitishia angalia hata watu wanaohudhuria hilo tamasha hao watoa zawadi wenyewe ni marafiki zao tu washikaji zao ndio jukwaa la kupeana umaarufu kwa kutumia nguvu za wenzao, nakupongeza kwa uamuzi wenye akili. waache wabaki na hao wakina pipii wajifunzie humo we songa mbele watakuwekaje na twanga pepeta jamani wana kichaa hao waandaaji mwisho wataishia kucheza wenyewe maana wana muziki wameshituka
   
 12. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Nakumbuka mwaka TID aliotoka kisanii ambao ndiyo mwaka aliyo release hit single ya Zeze alishinda tuzo 3 mwaka huo. Sasa kinacho nishangaza ni kwamba alikua ana kubaliana nao pale tu alipo kuwa aki pata tuzo? Sasa haja pata miaka kadhaa imekua nongwa? Pia ana shindwa kutambua kwamba hizi tuzo watu wana pigia kura so in the end it is a popularity contest kwa hiyo akishindwa ina maana tu kuna mtu anapendwa kuliko yeye.

  Mimi nawashauri wasanii waache kukazania tuzo si kwa sababu alizotoa TID bali kutokana na hali halisi. Tuzo wanazo hitaji wasanii wetu ni kutengeneza pesa za kutosha kulingana na kazi zao. Isiwe umaarufu tu wa jina. Hizi tuzo za Kili hazina credibility na wala sioni kama ina muongezea msanii heshima yoyote. Sidhani kama pale msanii ata kapo kuja kuacha kuwika au kuimba anaweza aka angalia nyuma na kujivunia kushinda tuzo za Kili. ANyway maoni yangu tu.
   
 13. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  si muziki tu.....sekta nyingi za kimashindano na tuzo/mkanda/taji/kombe zimejaa kujuana na ubabaishaji....RICHA ADHIA ET AL......ni riadha ndo nadhan tutaona mshindi kwani yeye atakuwa mbele ya wenzake lakini bado nako kwenye kuchaguliwa kushiriki ni vioja....TID AMEAMUA JAMBO SAHIHI.....!
  BIG UP BOY.....!
  ON top of this hata ukisoma meseji yangu hapo chini si kama ninapigia debe rushwa NO...! bali ni hali halisi katika jamii yetu ,kama unataka kile unachostahili TOA RUSHWA ILI UPATE HAKI YAKO UNAYOSTAHILI....NA KAMA HUTAKI KUPATA HAKI YAKO KWA KUTOA RUSHWA FANYA KAMA TID
   
Loading...