Vituko vya Sarah Palin wa Republican | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vituko vya Sarah Palin wa Republican

Discussion in 'Celebrities Forum' started by ngoshwe, Mar 26, 2010.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kwa tiketi ya chama cha Republican, alitinga katika kinyang'anyiro cha nafsi ya juu kabisa ya uongozi wa Taifa kubwa duniani ambalo linaaminika kuwa na watu wenye uwezo wa hali ya juu "mukichwa" (makamu wa rais), Sarah Palin ambaye alipata kutumika kama Gavana wa jimbo la Alaska (2006 - 2009) kwa baadhi anaonekana kama ni mama "kilaza" mwenye uwezo kiduchu mno katika kichwa chake kwa kula "chabo" za kishule shule hata kwa maswali ya kawaida sana na huku akitaka asionekane upeo upo finyu mbele ya watu wake!.

  Ingekuwa vipi kama Republican ingeukwaa urais wa Marekani 2008 nae ndo Makamu wa Rais???

  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=syvBW6WVZEM&feature=related"]YouTube- What was written on Sarah Palin's hand? -Palin's 'cheat sheet' on hand[/ame]

  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=eSc8uHSsIQo&feature=fvw"]YouTube- BREAKING: What Palin Wrote on her Hand[/ame]

  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=KPQVt7687Cc&feature=related"]YouTube- 12 Things Sarah Palin Wrote on Her Hand (Doug's Dozen #30)[/ame]

  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=tGJdYYTTv1c&NR=1&feature=fvwp"]http://www.youtube.com/watch?v=tGJdYYTTv1c&NR=1&feature=fvwp[/ame]
   
 2. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #2
  Mar 26, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Mmh,kweli ana vituko.
   
 3. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mimi aliniacha hoi pale alipokuwa-pranked na wale comedian wa ki-Kikanada. Sikiliza hii video

  http://www.youtube.com/v/QbEwKcs-7Hc
   
 4. Lawkeys

  Lawkeys JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 1,110
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Men I see no problem with that,it is her style. Note taking enhences good public speaking.
   
Loading...