Hongera bibi luise kwa kifikisha miaka 90

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,885
21,973
Usiku wa leo napenda kumpongeza bibi yangu kipenzi alie nilea toka nikiwa mtoto kwa kufikisha miaka 90,..amekuwa nami muda mwingi wa maisha yangu nami sina cha kukupa bibi mungu akulinde;wakati mama yangu akiwa mkoani kikazi ulinitunza kama mtoto wako nikafikia kukuita mama kabla ya kukua na kujua ni bibi yangu!!!!
Nakupenda sana pole na ugonjwa wa kisukari mungu ni mwema tunaemwamini ashindwi na lolote zab 118:17 ikawe juu yako

natamka impatation ya kufikia miaka yako in jesus name....na kila atakaesoma hapa kukumbuka akapte impatation ya kuishii miaka mingi
 
Back
Top Bottom