Fina mango

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
huyu alikuwa Mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha Power Breakfast asubuhi. with Masoud KP. kipindi kilikuwa safi sana hiki.
yupo wapi Fina Mango kwa sasa wadau??
 
analea mwanangu Junior.tafadhalini hapa jamvini msije vuruga systems
 
fina mango anajishughulisha na kampuni yake binafsi!
I wapi na inashugulika na nini? CM ni vyema ungewaweka wadau wazi katika hili kwani mpaka wanamuulizia ujue wana haja naye kikweli hivyo kwa kuongeza taarifa twaweza kumtembelea ati.
 
Toweni taarifa kuna watu wanamuulizia humu wanaweza kumpa deal hata kama amefulia. ni mtunwetu yule yuko very bright kwa wale mliokuwa mnasikiliza 'Power breakfast'. Hivyo tunampenda sana kama mtu aliyeleta mchango katika jamii kwa kipindi kile.
 
Fina hivi sasa ana kampuni yake inaitwa OnePlus inajishughulisha na PR na event management.
 
Emanuel Makofia hivi unadhani kila mdada hapa mjini anategemea mapapaaaaa please give us a break. Hayo mambo siyo kila mdada anataka kupewa pesa na wanaume saa zote then kudharirishwa Lol hujatulia achana na fikra za kifisadi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom