ZE KOMEDI - TBC na ENZI ZA MWALIMU

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Naomba kuuliza labda tv yangu huwa haitoi sauti vizuri.
Siku izi inapofikia sehemu hii, huwa masanja anatamka neno ambalo linakua interfered na pop sound flan ivi.

Mi huwa nasikia *****NINA. yaani neno la mwanzo alisikiki vizuri, nasikia "nina zako".

Ivi hilo sio tusi kweli, kwanini likatishwe?
 
Pigia mstari mkuu wala usijiulize...
 
Matusi sio ya moja kwa moja ambayo hata mtoto mdogo hawezi kuelewa..lainiiii kama una nawa......unapiga tatu kama boro young??
 
Nadhani unauliza kitu ambacho tayari umeshajua, labda kama unataka ushahidi
 
Naomba kuuliza labda tv yangu huwa haitoi sauti vizuri.
Siku izi inapofikia sehemu hii, huwa masanja anatamka neno ambalo linakua interfered na pop sound flan ivi.

Mi huwa nasikia *****NINA. yaani neno la mwanzo alisikiki vizuri, nasikia "nina zako".

Ivi hilo sio tusi kweli, kwanini likatishwe?

Its true wanatukana last sunday nilisikia nikashindwa aamini any way hawana issue nowdays
 
TBC1 si ni tv ya taifa!!
Kama ze comedy wanatukana kweli ni dhahiri kuwa TBC1 wana mchango katika kubomoa maadili.
Na ni aibu kubwa.
 
Ze komedi wanawatusi watu hovyohovyo tu, tena ni matusi ambayo haihitaji uwe unauelewa wa kutosha juu ya fasihi kuweza kuchambua na kutambua kuwa ni matusi matupu
 
Orijino Komedi, wameishiwa.Nimewaona juzi baada ya kuwa boycott kwa miezi sita.
Wamehakikishiwa mshiko kwa hiyo creativity ni sifuri.Hawana msisimko na kwa vyovyote vile ni kama waajiriwa wa shirika la umma.
 
Alitukana kama ulivyosema na tusi lilisikika vizuri ingawa walijaribu kukatisha, ...........NINA ZAKO!!!
 
Ze komedi wanawatusi watu hovyohovyo tu, tena ni matusi ambayo haihitaji uwe unauelewa wa kutosha juu ya fasihi kuweza kuchambua na kutambua kuwa ni matusi matupu

Mbaya zaidi, ni kipindi kinapendwa kuangaliwa na watoto. Halafu tunalalamika kuwa kizazi kinaharibiwa na kuiga tamaduni za nje wakati waTz wenzetu wanachangia kuharibu jamii na mambo ya hovyo hovyo na wenye mamlaka hawana ubavu wa kuwaonyesha vidole kwani wanatimiza malengo yao.....Aibu!
 
wameshakuwa wahuni hao. wamechanganyikiwa na hela za mafisadi. watakoma mafisadi wakishafulia
 
Mbaya zaidi, ni kipindi kinapendwa kuangaliwa na watoto. Halafu tunalalamika kuwa kizazi kinaharibiwa na kuiga tamaduni za nje wakati waTz wenzetu wanachangia kuharibu jamii na mambo ya hovyo hovyo na wenye mamlaka hawana ubavu wa kuwaonyesha vidole kwani wanatimiza malengo yao.....Aibu!

Mie siku nyingi nishapiga marufuku home hakuna kuangalia na since natumia dish ninaifunga TBC1
 
Naomba kuuliza labda tv yangu huwa haitoi sauti vizuri.
Siku izi inapofikia sehemu hii, huwa masanja anatamka neno ambalo linakua interfered na pop sound flan ivi.

Mi huwa nasikia *****NINA. yaani neno la mwanzo alisikiki vizuri, nasikia "nina zako".

Ivi hilo sio tusi kweli, kwanini likatishwe?

SWALA NI KWAMBA WALIPO KUA KWA MZEE WETU KIPINDI KILIKUA CHA MOTO MAADA NI NYINGI...KWA MTAZAMO NI KWAMBA HAWA JAMAA SASA WAMEANZA KUFULIA MAADA ZINAENDA UKINGONI UBUNIFU UNAPOTEA.. KILICHO BAKI NIKUFORCE KING TU.. KWA HIYO HATA MATUSI YANA BIDI YATUMIKE ILIMRADI kichekesho.. TBC NI CHOMBO CHA TAIFA NA TUNGELIPENDA KUONA HESHIMA INACHUKUA MKONDO WAKE KWAAJILI YA MAADILI...KIPINDI HIKI KINA ANGALIWA NA WATU WARIKA ZOTE WENGINE NA WATOTO WAO WENGINE NA WAKWE ZAO...IKIFIKIA SEHEM YA MASANJA NA ENZI ZA MWL TUNACHANGE CHANNEL whats the meaning.....YOU need change MASANJA where ever u are ...
 
Back
Top Bottom