Rejea kichwa cha habari hapo juu kuhusiana na Dr. Slaa:
Mcha Mungu.
Anayewajali na kuwastahi watu.
Anapenda haki na kuwajali wanyonge.
Mkweli wa maneno na matendo.
Ana uwezo wa kuongoza na upeo...
Pippa, the 27 year-old younger sister of Prince William's wife Kate, has lately created much interest fom the media.
Much frenzy is due to her captivating pictures...
Mkenya kwa jina la Stella Mwangi amefanikiwa kuingia nusu fainali ya shindano kubwa a muziki lujulikanalo kama Eurovision. Wimbo unakwenda kwa jina la Haba haba...
cheki mwenyewe hapa chini...
Msanii maarufu wa filamu kutoka Tanzania, yupo nchini Ghana ambako ameenda kimya kimya kwa malengo mahsususi.
Bofya link hii upate habari kamili. Tanzanian Star Actress Hides In Ghana
....MARIAH CAREY NA HUSBAND WAKE NICK CANNON....!
Mnamo tarehe 30/4/2011, hapa Los Angeles, Mariah amejifungua watoto mapacha kama wanavyoonekana hapo juu. A baby boy and Baby girl.
Hongera zake
David Beckham involved in car crash but escapes uninjured
Crash took place on busy Los Angeles freeway
Driver of other car taken to hospital but not seriously injured...
Namsikiliza huyu dogo kupitia Star TV, Bongo Beats na Sauda Mwilima: Kama ilivyo kwa wasaniii wetu chipukizi, naona kijana anajigamba kwa mbwembwe kuwa anakaa gheto NHC Ilala Boma, siunajua tenaa...
Haya Jamani,
Zimebakia siku chache kabla ya Mshindi wa tuzo ya uongozi bora Afrika atangazwe. Mshindi huyo si tu atapata ujiko wa kuitwa kiongozi bora Afrika, ila pia atashinda tuzo ya...
Rais wa nchi ya Zanzibar mambo mazuri Uturuki, asije akaomba na silaha, kwa heshma kubwa kwa Uturuki, tunaijuwa nguvu yake kijeshi na kiuchumi, hata Israel inabembeleza ipate urafiki na Uturuki...
Wandugu naomba kuwasilisha, tabia za baadhi ya ma MC zimekuwa ni mbaya sana hata kusababisha watu na sherehe zao kujikuta kwenye taharuki kubwa.
Ukweli ni huu:
MC Chitanda ambaye ni mfanyakazi...
Binti wa Rostam Aziz
Ama kweli ukila na kipofu usimshike mkono, fisadi namba moja nchini kwa kweli anafaida sana hela zetu walala hoi maana binti yake anasoma shule moja binafsi na ghali sana...
Kwa wapenzi wa Figure skating bila shaka mtakuwa mnampata kijana Robin Szolkowy - Wikipedia, the free encyclopedia, baba yake inasemekana ni mtanzania ila hawajawahi kuonana. Wazee wa JF kama...