Nurdin Bilal ‘Sheta’, khaaaa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nurdin Bilal ‘Sheta’, khaaaa...

Discussion in 'Celebrities Forum' started by ngoshwe, May 3, 2011.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Namsikiliza huyu dogo kupitia Star TV, Bongo Beats na Sauda Mwilima: Kama ilivyo kwa wasaniii wetu chipukizi, naona kijana anajigamba kwa mbwembwe kuwa anakaa gheto NHC Ilala Boma, siunajua tenaa, hana mke wala mchumba, hana shughuli yeyote maana, akiamika tu yeye anasikiliza muziki tupu,.... anasema,..kupika aaaaah, kupika sijui, nikiamka namtuma jamaa aniletee misosi ...

  Khaaaa....inasikitisha sana vijana wetu katika dunia hii, ...ni fahari gani kijana kujivunia "eti kupika sijui!!...kufua sijui, nakula tu, kusikiliza muziki na kulala!!!!. Yaani hata kuendeleza vipato mnavyovipata kupitia usanii hamuwezi???, nini hatima yenu siku midomo ikiteguka na kupoteza umaarufu jukwaani?..
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,253
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  who is Nurdin bilal? mtoto wa makamu wa rais?
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Rubish
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  May 4, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Tehe tehe teheheheeeeh!!
   
 5. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Huyo dodo ndiyo kwanza namsikia hapa!
   
 6. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Kwa kijimbo kimoja tu na tena amebebwa na chorus ya bell9 ndio mbwembwe zote hizo?
   
 7. s

  shosti JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  tukuzeni chenu,ingekuwa anatajwa nani sijui huko majuu mngeshoboka hapa lakini sheta mnajifanya kuponda....
   
 8. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Tunavipenda vyote ila kwa maisha ya mtanzania huwezi sema hujui kufua,kupika au kufanya usafi kwako unapolala sio kweli hata kama baba ako rostam aziz hata chupi yko utakuwa unafua au hata kuchemsha maji ya chai thus what we mean na sio hatuvipendi vyetu
   
 9. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Bora ungetueleza ya bi-kidude huyo ni nani???
   
 10. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kwa mujibu wa mtoa mada kama kweli kijana ndo kasema hivyo bac nampa pole coz hajui alicho kuwa akiongea.
   
 11. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ni suala zima la kutafuta lyrics!
   
 12. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #12
  May 5, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 1,998
  Likes Received: 955
  Trophy Points: 280
  Sharobaro........
   
 13. L

  Long'ututi Member

  #13
  May 7, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hata me nishangaa alichoongea huyo mwanamuziki,cjui ni udogo wa elimu au ulimbukeni?
   
Loading...