Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kijana wetu JF akifunguka kwenye interview na XXL. Kweli mbunge noma kakaa kulia halafu kapiga overtake cheki link hii hapo chini Jaffarai Shyrose Bhanji Amenisaliti Na Mbunge Wa Mby Mjini Mr II
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Najua kama binadamu una mapungufu yako ya kibinadamu. Lakini kwenye kazi yako unafanya vizuri sana na unaweza kufanya vizuri zaidi iwapo tu utaenda shule ya kitaaluma. Hii itasaidia sana kwako...
1 Reactions
50 Replies
6K Views
EAST AFRICA HERALD: Chinua Achebe Vs 50 Cent
0 Reactions
12 Replies
2K Views
http://youtu.be/JQzBVzvUpEo Msikilize alivyo wapakipaumbele wanawake!!lakini kwa ujumla wake alikuwa boya!!! http://youtu.be/MgUe7OI0a7w Tanzania ya sasa anatakiwa maamuzi kama ya amini.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jf jana ktk ukumbi wa kiss club mwanza tulikuwa na mastaa kibao waliopata kutamba uko nyuma,kilichonishangaza mimi ni kuona jinsi gani walivochoka yani hadi konyagi wanagongea kwa watu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Huyu celebrate anahitaji msaada; kwa wale waliojaliwa na MUNGU msaaidieni huyu kaka.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hivi hii wiki ya nenda kwa usalama barabarani ina maana gani wakati hata hizo stika za kuonesha magar yanakidhi viwango vya kuwa barabarani zinatolewa bila gari kukaguliwa au ndo wanakagua mifuko...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
combination ya Michael Baruti na Zembwela kwenye kipindi cha SUPAMIX kinachoruka hewani kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa, kupitia East africa Radio ni nzuri saaaaana.... wawili hawa wanaupeo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Shocking: Photo apparently showing Michael Jackson's dead body on a gurney on the opening day of the trial of Dr Conrad Murray Click hapo chini kwenye maneno mekundu Audio Recording of...
0 Reactions
16 Replies
20K Views
kwa kweli hawa vijana nawakubali sana.naona kama wana upeo mpana sana wa masuala mbalimbali ya kijamii,kisiasa na kiuchumi pia...nimfano w akuigwa kwa watangazaji wengine kwenye tasnia hii ya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Amefariki akiwa na miaka 71, kansa imemuua
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu, nina idea ya kutunga singo ya kumpelekea ujumbe Ngeleja, nilipenda nitumie strategy ya kama "naongea na riz 1" pia naomba wadau waniongezee mistari katika wimbo huo! Asanteni
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Hapa kwetu kama kesi iko mahakamani ni mwiko kuiongelea na hasa kwenye vyombo vya habari. Hapa Kuna mama ambaye alikuwa rafiki ya Michael Jackson anaitwa Hilton anaongea na CNN kama anatoa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Katika hali isiyo ya kawaida mkuu wa wilaya moja mkoani Ruvuma amefumaniwa akimmega {akivunja amri ya 6 na} paparazi jina la mkuu wa wilaya ni Juma Madaha mkuu wa wilaya ya Tunduru. Hii imetokea...
0 Reactions
129 Replies
17K Views
Jamani kwa kweli mimi mwenzenu.... hili toto hili laitwa Kim.......aaah!!!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wiki chache baada ya mke wa Rapper Jay-Z,Beyonce kudai ana ujauzito,Imefunguliwa kuwa Rapper Jay Z ana mtoto wa siri wa miaka 9 aitwaye Jerald Andrews,akidaiwa kuzaa na Schenelle Scott,model toka...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Hyo style mliyoanzisha ya udini na mnavyoipa nguvu ndio itayokuja kuwamaiza 2015 ccm make nakujua wazee ambao wanawabeba kila uchaguzi hawatafikia idadi ya vijana wasiodanganyika,
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hyo style mliyoanzisha ya udini na mnavyoipa nguvu ndio itayokuja kuwamaliza 2015 ccm mkae nakujua wazee ambaowanawabeba kila uchaguzi hawatafikia idadi ya vijana wasiodanganyika,
0 Reactions
0 Replies
932 Views
'There will be some punishment if he misses a sitter or gets sent off for a reckless challenge again' – A scary entry from Koichiro Yamamura
0 Reactions
9 Replies
4K Views
HALI YA HATARI TANZANIA: Watanzania wote kwa ujumla wetu, wakubwa kwa wadogo, wanaharakati, asasi binafsi na za uuma, viongozi wa dini nk. yatupasa kuamka na kutambua nini kinachoendelea ndani ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…