Mkuu wa wilaya Ruvuma afumaniwa akimega

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
Katika hali isiyo ya kawaida mkuu wa wilaya moja mkoani Ruvuma amefumaniwa akimmega {akivunja amri ya 6 na} paparazi jina la mkuu wa wilaya ni Juma Madaha mkuu wa wilaya ya Tunduru. Hii imetokea jana mchana kweupee wananchi wanao kemea tabia mbaya kama hizi. Kwa mtu anae taka more dataz piga cmu kwa viongozi wa serikali mkoa wa Ruvuma watakuthibitishia.

NB; Huyu mkuu wa wilaya anapingana na zoezi la mwajiri wake rais JK kwa kuto piga vita gonjwa hatari la ukimwi hili. Tunashauri rais amsimamishe kazi mara moja na hatua za kinidhamu zichukuliwe.
Na mwezi mtukufu huu jamaa anatenda dhambi kweupe kaacha ofisi anaenda kumega.
 
Last edited:
Unaficha jina wakati jina lake liko public? Anaitwa Madaha Juma Madaha. huyu Bwana ni mkuu wa wilaya ya Tunduru.
 
jina la mkuu wa wilaya na jina lake naliweka kapuni kwanza.

Homeboy unaniangusha! Hujaweka chanzo cha habari ....pili umeshindwa kucomply na slogan ya JF ....WHERE WE DARE TO TALK OPENLY!

Weka kila kitu hadharani poti!
 
Fidel,
una uhakika? kwa nini wewe usipige simu ukatuthibitishia ndo uje kutuambia

Yeah nina uhakika unajua kuna watu utasikia ohh tupe source sasa ndo hivyo piga simu mkoani watakwambia.
 
Duh Kama ni kweli basi au ni Mke wa mtu.. ni hatari sana kuona kama Mkuu wa Wilaya anafanya mambo kama haya ya ajabu
 
kwani amebakwa?kama ni maelewano tukiweka case kama hizi hapa space itakuwa haitoshi,teh teh..
 
Unaonaje ukinitafutia jina la aliyemegwa,unaweza kukuta ni shemeji yenu.Yaani jamaa hata hakuogopa mwezi wa toba achilia mbali kutokufunga.Halafu kiongozi kama huyu mtegee atakuwa muadilifu.Mnaopiga vita ufisadi jueni kazi mnayo.
 
kwani amebakwa?kama ni maelewano tukiweka case kama hizi hapa space itakuwa haitoshi,teh teh..

Kwa hiyo we unaona poa tuu,au vipi? mbona wengi wanafanya hivyo hivyo tu,ndio hoja yako.Nina kuhakikishia kwa staili hii hao dada zenu na watoto wenu hawatosoma katu,mjiandae kulea wajukuu tuu.Kwani hatokuwepo wakulikemea likitokea.
 
Duh Kama ni kweli basi au ni Mke wa mtu.. ni hatari sana kuona kama Mkuu wa Wilaya anafanya mambo kama haya ya ajabu
...Jambo la ajabu kumega?? Mh!!! labda kwa kuwa alienda kumega saa za kazi.....otherwise ni kawaida tu tena watu wazima..
 
Yaani mchana siku ya kazi, hayuko likizo wala nini anafanya ufuska? Lazima awajibishwe haraka sana huyu. Nafikiri hawa watu hawana kazi za kuwatosha huko waliko au wamepewa hizo kazi kimakosa. Kuna haja ya kupitia upya orodha yake ya waheshimiwa wote aliowapa kazi, nahisi wengi wameokotwaokotwa tu ndio maana hawajui majukumu yao.
 
Mnajua mm kinacho niuma zaidi huyu mkuu wa wilaya kwenda kumega wakati wa kazi tena mchana kweupeeeeeee kaacha ofisi watu kwenye foleni yeye anajiexpress. Maadili ya uongozi yako wapi jamani? Alafu kamega paparazi ambaye naye anajukumu la kutupa taarifa/habari wananchi amekacha kutafuta habari akaenda kumegwa.
 
Hii ni aibu. Nimesikia maelezo yake asubuhi ya leo anasema eti ni kitu kimepangwa na mpenzi wake wa zamani ambaye amemuacha na pia ni mwandishi. Huyu mkuu wa wilaya hafai. Eti alikuwa kapunzika? mchana?

JK MFUTE KAZI!
 
Tukihoji JK anatumia vigezo gani kuchagua wakuu wa wilaya mnasema ooh Fidel, Yo Yo, Nyani Ngabu, Masanilo wasengenyaji haya sasa huyu kafumwa mchana kweupeeeeee kaacha ofisi anaburudika na kiburudisho.
 
Huyu mbona jina lake kama ni ustaadhi,yeye hafungi kwenye mwezi huu mtukufu na anamega nje ya ndoa yake tena hata muda wa kufuturu bado?Tabia hii haimpendezi Mungu na maadili ya uongozi wa taifa pia.Viongozi wanapaswa kuwa mfano wa kuigwa katika jamii,sasa kama wanamegana tena mchana kweupee inakuwaje hii.JK amtupie macho.
 
Back
Top Bottom