Orest Kawau na Meshack Nzoa

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
kwa kweli hawa vijana nawakubali sana.naona kama wana upeo mpana sana wa masuala mbalimbali ya kijamii,kisiasa na kiuchumi pia...nimfano w akuigwa kwa watangazaji wengine kwenye tasnia hii ya uandishi.

kwa wale msiowafahamu..wanatangaza kipindi cha morning magic kwenye radio ya Magic FM 92.9M (DSM) na huruka hewani tangu saa 12 hadi saa 3 asubuhi.Huwa wanachambu amagazeti kwa utashi w ahali ya juu kuanzia saa 12.30 hadi saa 1 kamili..then huwa wanachagua mada mojawapo iliyomek headline (wanaita kupaka rangi) kwanza wanaijadili waoooo....kwa undani sana na kwa uhuru wa hali ya juu then wanaruhusu wasikilizaji kupiga simu.....they have a brain

hivi clouds bado ipo?hahaaa
 
hao jamaa kwenye magazeti wanachosha hawajui kufanya review wanasoma kila kitu kila page kiasi kwamba haivutii kusikiliza inakuwa kama hotuba au imla! Wajitahidi kusoma headings tu, wapunguze huo muda mpaka dakika 10 au 15. Siwasikilizi mara nyingi
 
Mi nawasikilizaga. Ila hawako juu kiasi hicho. Ni kawaida. Na yule wa kupenda review cjui kama ataswitch TV yake to ATN asubuhi saa moja hata cku moja..
 
Back
Top Bottom