Chinua Achebe Vs 50 Cent

Clarity

JF-Expert Member
Jul 6, 2010
1,392
1,566
50 Cent*has been undone by one of Africa's greatest novelists,*Chinua Achebe. The rapper's latest movie has been renamed ahead of its release, due to a conflict with Achebe's most famous work.

Things Fall Apart, published by Achebe in 1958, is Nigeria's most famous English-language novel. It has sold more than 8m copies worldwide. Unfortunately, 50 Cent was not aware of this.
He spent much of 2010 shooting a film of the same name, the story of an American football player diagnosed with cancer. "It's a project that I wrote, produced and financed myself," he explained last year. Directed by Mario Van Peebles, it premiered at the Miami film festival in Marchand is expected to be released soon.Unfortunately for Fiddy, his film will not keep its original title. After being contacted by Achebe's legal team, 50 Cent allegedly offered $1m to*hold on to the title. Achebe, 80, took this as an insult. "The novel with the said title was initially produced in 1958 (that is 17 years before [50] was born)," replied his lawyers, according to Naijan. "[It is] listed as the most-read book in modern African literature, and won't be sold for even £1bn." The film has now been renamed to*All Things Fall Apart.
 

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,705
3,217
mhm, mambo ya sheria hayo. kesho utaskia wabongo wametoa muvi kwa hilo jina, no problem!
 

SURUMA

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,893
1,061
mhm, mambo ya sheria hayo. kesho utaskia wabongo wametoa muvi kwa hilo jina, no problem!

Angefanya utafiti mdogo tuu (kama google) angejua hata kuwa Tittle hiyo ina uzito mkubwa kuliko alivyojua!

Tusome jamani na kabla hujaibuka na tittle ya chochote ulizia kama haijawahi kutumika!

Namsamehe bure 50 Cents-nadhani ni tatizo letu WEUSI-kujisomea na kuchunguza kabla ya kusema au kutangaza kitu twaona ni kazi aka kazi!
 

Clarity

JF-Expert Member
Jul 6, 2010
1,392
1,566
Huyu 50 cent c ndio amepiga picha na mwenzie Yule ambaye hajui kwa nini nchi ni maskini
 

CHIPANJE

JF-Expert Member
May 1, 2011
321
52
Ndio,50 cent ndo aliyepiga picha na kiongozi mkuu wa nchi hii,ambaye hajui kwanini Tanzania ni maskini!
 

Njabu Ngabu

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
5,742
3,337
Navyojua, Mzee Chinua Achebe aliiga title ya kitabu chake cha "Things Fall Apart" kutoka shairi fulani la mwandishi maarufu wa Kiingereza. Sasa iweje leo adai publishing rights ya phrase "Things Fall Apart"?
 

Tulizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
848
662
Mzee..angechukua hiyo dola Million 1 ya 50% na kukaa kimya... Sasa kama Kanumba na Ray wakija na hiyo "Things Fall Apart" mzee Chinua ataambulia nini?

Tusubiri wana-sheria wa wanaomiliki movie ya Michael Jackson "This is it! watakapomzukia Kanumba na movie yake ya "This is it!
 

Natalie

Senior Member
Sep 25, 2011
165
27
Siku zote mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe, we tuchukulie mtu kama Akon, uchukue beat yake ya music bila ruhusa yake, mkatunge wimbo, muusikilize tandale au hata East Africa nzima waujue, hatakuwa na haja hasa ya kuhangaika na nyie, but hiyo beat ichukuliwe na Kanye West bila hiyo ruhusa yake, nakwambia siku mbili haziishi anampeleka mahakamani, na kutaka fidia ya kufa mtu.
 

Natalie

Senior Member
Sep 25, 2011
165
27
50 Cent kanitia aibu sana, mpaka leo hii bado anaishi kihuni huni, hayuko makini, embu aajiri watu makini wa kumshauri vitu vya kufanya, wenye professional ya kufanya hivyo, ambao watafanyia uchunguzi ishu au biashara anayotaka kufanya ili asipate matatizo na aibu, awe makini, asichukue ushauri wa mateja wenzake wa zamani, awe makini, Dunia inamtazama, yeye ni Star bwana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom