kiongozi au mtawala? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kiongozi au mtawala?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by gwijimimi, Sep 24, 2011.

 1. gwijimimi

  gwijimimi JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 6,524
  Likes Received: 1,401
  Trophy Points: 280
  HALI YA HATARI TANZANIA:
  Watanzania wote kwa ujumla wetu, wakubwa kwa wadogo, wanaharakati, asasi binafsi na za uuma, viongozi wa dini nk. yatupasa kuamka na kutambua nini kinachoendelea ndani ya nchi ya Tanzania na kukemea kama sio kulaani mbele ya Muumba wetu harakati hizi za umauti:
  Mh. Nape Nnauye kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi "CCM" ni binadamu hatari sana, sio tu kwa amani ya nchi ya Tanzania halikadhalika kwa jumuiya nzima ya kimataifa kwa vizazi hata vizazi.
  Upo waraka umekamatwa leo hii na taasisi moja binafsi hapa nchini ulioandaliwa na kusainiwa na kada tajwa hapo juu, aliouandaa na kuusambaza kwa wajumbe wa kamati kuu ya ccm (Nec) kupitia moja ya vikao vyake ukiwaamuru kwa makusudi kabisa wajumbe hao wa kamati tajwa kukihujumu Chama cha Demokrasia na Maendeleo "CHADEMA", kwa kuhakikisha kwamba kinapoteza uaminifu, utashi na kukubalika mbele ya jamii kwa kutekeleza yafuatayo;
  1. Kuandaa nyaraka feki zitakazouaminisha umma kwamba cdm ni chama cha kidini na ukabila kadiri itakavyowezekana.
  2. Kuandaa nyaraka zitakazo uaminisha umma kwamba, cdm kipo kwenye mpango wa makusudi kabisa kuhakikisha wanatekeleza uhaini ndani ya nchi kwa kutumia mamluki (waasi) toka jamuhuri ya kidemokrasia ya watu wa Congo.
  3. Kuandaa taarifa feki zitakazouaminisha umma kwamba, cdm ndicho chama kinachoratibu na kutekeleza mauaji ya raia wasiokuwa na hatia yanayoendelea hapa nchini.
  4. Kuwahujumu viongozi wa cdm kwa kuwabambikizia kasha mbalimbali nzito hasa za kukutwa na madawa yakulevya hali kadhalika kuwa na uhusiano na makundi ya kigaidi duniani yanayoongozwa na Al-qaeda.
  5. Kutengeneza nyaraka feki ambazo zitauaminisha umma na ulimwengu kwa ujumla kwamba, cdm kipo na mpango wa makusudi kabisa kuhakikisha Tanzania inajiondoa kwenye jumuiya ya umoja wa mataifa "UN" kwa kuafikiana na itikadi za kikundi cha kigaidi cha Al-qaeda na washirika wake kwa kutumia vivuli vya viongozi wake wa juu.
  Source: Wajumbe ndani kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi wenye uchungu na nchi yao waliojawa na hofu ya Mwenyezi Mungu.
  Eee.... Mwenyezi Mungu twakuomba utusaidie.
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Umetumia muda mreeeeeeefu kuelezea utuuuuuuuumbo mchaaaaaaaaafuuuuuuuuuu
   
 3. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  huna jipya hofu yangu ukiendelea na tabia hii ya kuwa siliasi ktk mambo ya kijinga na pengine sumu/uwongo sijui //// itabidi utembee na maziwa baba mzima
   
 4. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  ashindwe na kulegea mara moja
   
 5. Transkei

  Transkei Member

  #5
  Sep 26, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hawaiwezi chadema kwani chadema ni nguvu ya umma na hilo litajionyesha 2015,people powerrrrr....
   
 6. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mimi na siasa izi za utandawazi tofauti!
   
Loading...