Ivi mastaa wa bongo huwa wanakumbuka ya kesho?

oldonyo

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
549
86
Wana Jf jana ktk ukumbi wa kiss club mwanza tulikuwa na mastaa kibao waliopata kutamba uko nyuma,kilichonishangaza mimi ni kuona jinsi gani walivochoka yani hadi konyagi wanagongea kwa watu kweli?hapa nawazungumzia steve nyerere,dudubaya,jitaman na darkmaster.ila mimi nilistuka zaidi nilipomuona dudubaya alivyo nikajiuliza ivi huyu ndo dudu yule wa nampenda mpenzi wimbo uliopata kutamba na kumuingizia mkwanja mrefu na je dudubaya hizo pesa alizitumia kuwekeza kwenye nini?pia nilijiuliza sasa ndo kaamua kuamia mwanza au baada ya maisha ya dar kumuendea hali jojo?Ila nisingependa kuponda sana kwani hayo yalikuwa ni mawazo yangu tu ila mwenye information zaidi juu ya miradi ya dudubaya dar.es salaam anijuze ili nijue kwani hali yake ni mbaya sana.nawasilisha.
 
Mastaa wengi wakipata visenti wanasahau waliko toka wanakua niwatumiaji wazuri sana, wachache sana wanafikiria maisha yao ya baadae...
 
Hip hop alipi,game tight,industry imebana...Hizi kauli uwa zinanichekesha sana...
 
Mr. Nice anaweza kuwa na majibu sana kuhusiana na dudu baya....... Ku-maintain u-star Tanzania kazi sana....... Kimsingi hatuna mastar...
 
Starehe na pesa ni kama mapacha.
Elimu zao ndogo zinachangia kuwafikisha hapo walipo.
 
Back
Top Bottom